Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
Habari zenu wapendwa, samahanini kwa uzi huu kama nitakuwa nimewakwaza.
Hapo nyuma nilikuwa na boyfriend alikuwa ni mtu asiyejali ukaribu wetu alikuwa anajali simu yake zaidi kuliko mimi.
Ilifikia kipindi hata tukiwa 6/6 tunafanya mapenzi akiwa anaperuzi, nilijitahidi kumweleza kuwa hiyo tabia ananikwaza lakini hakuacha alidai kwamba anapopanda na simu inamfanya achelewe, ukweli ni kwamba alikuwa ananiondolea mode hata nilikuwa si enjoy kabisa.
Sasa nikazua ka tabia ka kuchepuka, kusema ukweli tabia hiyo nilikuwa sina ila kutokana na aliyokuwa ananifanyia huyu, ikabidi tu nijaribu kutafuta furaha yangu. Baada ya kutoka zaidi ya mara 7 kwa watu tofauti.
Bahati mbaya wiki iliyopita akawa ametufuma na rafiki yake na huo ndio ukawa mwisho wetu wa mahusiano.
Sasa wapendwa tangu juzi nilikuwa najisikia ovyo ovyo ikabidi niende kupima na majibu yametoka kwamba mimi ni mjamzito.
Nimewaza sana hata sitambui nimwambie nani najua fika nikimwambia atakataa tu, sasa nifanyeje mimi?