Dada niliyefahamiana nae Instagram ndani ya siku mbili kaniomba 15000 anadai nimtumie.

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
204
200
Ndugu zangu wapendwa,

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni

Juzi nilikuwa nachart na mdada mmoja Instagram jina nalihifadhi akaniambia yuko dar mitaa ya temeke

Dada alionekana mwenye furaha sana ikanitia moyo huenda nimepata rafiki Wa kweli

Jana tarehe 1:5:2017 Dada huyo alinipigia simu ananieleza nimpe 15000 kwa kuwa alipata shida ya dharura huko kwao, ikumbukwe namba tulipeana siku 2 tu zimepita

Ndugu zangu kiukweli nilishindwa kumpa hiyo hela nikamwambia kwa sasa sina akachukia kabisa toka Jana hajanitafuta tena.

Wasichana Wa dar kwann mnapenda cash sana? Wakati hata sumu nilikuwa sijamtemea.

HELP US JESUS.
 
Mwambie akutumie yeye alafu umrushie kwenye tigo pesa...
 
Wewe mlugaluga umeombwa 15,000 tu thread kila jukwaa ungeombwa 100,000 si ungeenda kwenye redio na tv! Mambo yako ya instagram maliza huko huko!
 
Back
Top Bottom