Ukitaka kumuweza mwanamke, mheshimu na kumthamini

Ukitaka kumuweza mwanamke, mheshimu na kumthamini

Makoja

Member
Joined
Mar 21, 2018
Posts
33
Reaction score
76
Mwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe mwanaume Mwenzangu

Kwa ufupi tu ni kwamba katika kipindi cha ndoa yangu yenye uhai wa takribani miaka kumi na moja sasa nilichojifunza katika mahusiano Haya ukitaka Kumuweza Mwanamke. Usitumie nguvu kubwa sana katika kumuongoza Mwanamke kwa maana ya kuwa mkali kupita kiasi hapo wanaume wenzangu Mwanamke hautamuweza.

Mwanamke anahitaji kupendwa au kuthaminiwa, Mwanamke anahitaji kukumbushwa kila mara kwa heshima no matter how many times umezungumza nae Mwanamke anahitaji kupewa tahadhari ya mambo kadha wa kadha, ukienda tofauti na hapo ndio mwanzo wa kufarakana.
 
Mkuu wanaogopa kuitwa mume bwenge....!

Hawa Wanawake nao hawaeleweki anaweza akakujaribu temper yako ikoje anafanya makusudi tuu then anaenda kwa shogaze anawapa maneno, kwa hili

Kwa hili lazima na sisi tu switch off our humanity kwa kupretend au vipi
 
sema ulichonifanya nisikuamini ni kutojua tofauti kati ya R na L... Nimehisi uko shallow kwa vitu vidogo
 
Back
Top Bottom