Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini ! Kwa kawaida ndoa Ina mambo mengi sana na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Hivyo katika pita pita zangu nimekutana na mada hii ambayo imelenga sana Kwa wanawake hasa waliopo kwenye...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Hali kwa sasa imekuwa mbaya sana hasa kwa sisi ambao tunazunguka mitaa mbalimbali town na mitaani sometime unakutana na majaribu makubwa kushinda hata ya ayubu. uvaaji wa dada zetu siku hizi...
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Kwanini sio alama ya mavi ya mbuzi, kisu au jembe? na je nchi zote duniani alama ya kopa ina maana iyo hiyo ya mahaba? i am so curious to know.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hivi kwanini baadhi ya wanawake akijua unampenda kweli yani anakutesa.?
1 Reactions
17 Replies
4K Views
jamaa yangu ameoa binti mmoja mzuri mwaka wa pili sasa. na mimi ndo nilikuwa best man wake so nilihusika vizuri sana kweny ehiyo ndoa na harusi yao toka mwanzo. katik aharakati hizo ndip mama mkwe...
9 Reactions
198 Replies
33K Views
He's one of my best friends, I've been closer to him than I have to anyone else He knows everything about me EVERYTHING I always felt like i could rely on him When everything and everyone else...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Naomba mmoja anisaidie barua ya uchumba inaandikwaje kwa watu wa Ruvuma tafadhali ama yeyote anaejua
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni. Asante sana na Mungu awabariki [emoji120][emoji120]
12 Reactions
184 Replies
15K Views
Yani kuna kajamaa haka sikajui jina ila kana mwanamke ambaye kama ukiwa naye tanzania kwa umbo lake unaweza kufa kwa presha.maana pesa itamchukua haraka kwa njia yoyote. Jamani mimi nashindwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa utafiti mwingi nilioufanya japo sina data za kupresent hapa lakini kuna haka katabia cha wanawake wengi walioolewa kutowapenda ndugu wa mwanaume hasa linapokuja suala la kuwasaidia kifedha na...
8 Reactions
81 Replies
15K Views
Kwa Utafiti usio rasmi kumekuwa na kasumba ya wanawake punde tu wanapoingia katika ndoa kuanzisha bifu zisizo na msingi kwa ndugu upande wa Mume, huwa inashangaza zaidi hasa kwa Mume mwenye uwezo...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Hey people Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress) Niko na mood hii sasa hivi.... Sijisikii kula lakini natamani kula Natamani kulala...
13 Reactions
201 Replies
16K Views
Jamani mwenzenu nimeamua kukaa kimya mana najihisi kama jukumu la kupenda nimelibeba mwenyewe mwenzangu cmuelewi cku hz nimejarbu kumvumilia ss nimeshndwa leo cku ya 3 no call no sms nik2ma hajibu...
2 Reactions
62 Replies
9K Views
Couple Couldn't Conceive Because They'd Been Having Sex the Wrong Way for Four Years BY CHRISTINA ZHAO ON 8/24/18 AT 11:00 AM EDT A Chinese couple who were trying to conceive for four years were...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Pombe ukinywa kwa wingi huwa inafifisha kusambaa kwa kwa damu mwilini matokeo yake huwa inakuwa ngumu kwa dushe kusiamama vizuri. Watu wengi hawatambui hili matokeo yake hudhania kuwa wamerogwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Je ulishawahi kuteleza kwa bahati mbaya na dada wa kazi/ kaka wa kazi nyumbani na mapenzi yakawa moto sana na mwisho wa siku ikawaje. Kuna dada wa kazi alinipenda mara akiniona akimbie mara...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna tabia ambao sasa hivi nimeanza kuiona mbaya sana kwangu, zamani nilikuwa nachukulia poa. Mimi ni mtu wa kusafiri sana huwa nakusanya vitu mbalimbali naweka home. Ila kuna tabia ya watu...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima. Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi...
12 Reactions
68 Replies
13K Views
Navyosema kutapeliwa na mdada namaanisha hivi, mwanaume unakutana na mdada unamtongoza, hupewi jibu la ndio au hapana, unaomba namba ya simu, unapewa, mnachat wee unampanga aje ghetto labda baada...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Salaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana. Mwaka 2019 alijiunga na chuo nako bado alikataliwa kwa dharau sana. Ikapita miaka 2...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
Back
Top Bottom