Usioe mwana mke kwa huruma, oa atakae kufaa na kukujenga

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,262
12,835
Ukiwa msatarabu na mwenye huruma mwana mke anakuona kama fala, nakupa mfano moja ulio tokea kwangu binafsi, kuna mwanamke tume date takribani miaka sita kwa matumaini ya kumuoa, lakini kusema ukweli mie nilikua na mlaghai tu nilikua siwezi kuoana na mke mwenye dini tafauti na ya kwangu alafu msomi wa digiri ni 'trouble some kind of women'.....

Baada ya kujua mimi nimechelewa kumuoa ikatokea jama moja amemaliza chuo (BSC in Zoology) tumepishana kama miaka miwili kajitolea kumuoa kwa kumstri na ndoa ya kanisani, na tarahe ikapangwa ya hiyo ndoa, sasa huyu Demi kanitafuta kwenye line yangu mpya nilio kua nimebadili kwa kupitia ndugu zangu, kaniomba tukutane aniage rasimi kabla ya ndoa yake duh.

Nilishangaa akili zao hao viumbe nimekutumia miaka sita kwa kumongopewa ndoa, anaanza kunitakia mema kuliko aliejotolea kumuoa, sio kwamba mimi ni mzuri kitandani kwamba ananitamani kwa hilo hapana, mimi ni mtu wa kupiga kamoja(smart) na kulala paka asbh sitaki ligi. badaye huyu kiumbe ikawa anataka kunifanya kua danga lake kila anavo nitaka anatafuta sababu ya kuja kwetu, nikaona huo upuuzi siwezi kua danga la mke wa mtu nilimuacha diplomatically kwa kuhama lile eneo na nikabadili line ya simu.

Hivi hao viumbe wanataka nini??? Jama moja alinijibu kwa kuniambia ukianza kujua na kumuelewa mwanamke vizuri jua siku zako za kuishi duniani zimekaribia kuisha na unakufa sio mda mrefu.......that may be true?
 
Wewe kweli smart unapiga kimoja unalala hutaki ligi 😅😅😅 halafu mke wa mtu bado kakung'ang'ania sasa sijui anatafuta nini kwako ili mradi tu avuliwe Chupi 😠😠😠
 
Title ya Uzi na content haviendani, kiufupi hueleweki ulicho kiandika hapa ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom