HII INAUMA SANA

Lighton

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
881
1,636
Hakuna kitu ambacho huwa kinaniumiza sana kama hiki. Yaani huwa naumia sana, moyo wangu huwa na huruma sana ninapoona kuna mtu anaumia moyo kwaajili yangu na kwa namna yoyote huwa najitahidi kuwa sehemu ya furaha kwa wale wanipendao.

Lakini nina madhaifu yangu pia. Sina moyo uliopondeka, siwezi kuvumilia kuona mwanamke ananipenda but at the same time anampenda zaidi mwanaume mwingine yaan bora hata asingenipenda na asinipende ndo atazidi kuniumiza.

Inafikia hatua nafikiria kuishi kihuni tu, yaan nafikiri ningekuwa nafurahi tu kupitia maumivu ya wengine. Ile ile tu yaani hata kwa wanaonipenda ni kupiga tu na kutembea. Nafikir nikiishi maisha haya nitakuwa na furaha sana.

Nina msichana ambaye upendo wake kwangu ulinifanya niamini she was the one forever, i believed that she was my Eternal. Anasema ananipenda, alinipenda na atazidi kunipenda lakini Kuna mtu ambaye anampenda zaidi yangu na ni mwanaume wa maisha yake, wamecherish vingi sana.

Haya ni maneno ambayo yameshasemwa na karibia wanawake wawili ambao nimewah kukutana nao kwenye maisha yangu ya mahusiano ambao wamewahi kunionyesha upendo ambao ulinifanya nijione ni wa pekee lakini kilichokuja kutokea baadae ni maumivu makubwa.

Nawaza na najuta kuwa mwema, kuwa na upendo wa dhati kwa mwanamke anayetumia wakati wake wa shida kujiliwaza kwangu.

Haya ni maumivu yenye mafunzo makubwa sana kwenye maisha yangu ya mahusiano. Najua mimi ni binadamu nimeumbwa kusahau, lakini sitaweka kipaombele mawazo ya kuwa dhaifu kama binadamu...... Yataniumiza sana.

Haya ndiyo yanayonikuta sasa.

Nawasilisha kwa huzuni sana
 
Oya mbona unaandika kama unataka kunywa sumu?

usha achwa hivyooo, wewe uko too soft
 
Soma Kwa bidii wewe mtoto achana Na haya mambo, at some elements mapenzi is business, Kama huamini chunguza!
 
Sina cha kuandika muhimu umetambua vema kuwa unatumika kama daraja wakati wa shida. Maisha ya usasa wanafaidi marioos, good looking, those who drive and have money, influence to the public. Wanatamka hayo kwa kuwa hawakukupenda toka mwanzo. Jiongeze
 
Pole sana mwanaume haumizwi mara mbili ukiona kwenye mapenzi unaumizwa zaidi ya mars moja juwa ww ni dhaifu na usijaribu kuwa na mwanamke mmoja utalia maisha yako yote mwanaume kamili anaukuwa na wanawake zaidi ya watatu ata kama umeowa kilio cha mapenzi utakisikia Tu Acha na izi ngonjera et kuwa na mmoja ni anasa kijana furahia maisha yako
 
Msha ambiwa kila sehemu .ila mna kaza fuvu
1310693756.jpg
 
Back
Top Bottom