Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,124
- 93,237
Kunya Mara kwa Mara
Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu
Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia ng'aaaaaaa hiiiii tayari unaamka kulisha .
Kufua , kubadili mapampas
Hujakaa sawa vimefinyana
Kuvibadili Nguo nakuviogosha kila Mara
Juzi kakubwa kamemaliza Kunya, sasa ile nakaingiza bafuni kukasafisha.
Kurudi sebulen, nakuta kadogo kamekunyaaa, kametapakaza mavi yaan kama vile kalikua kanaseleleka
nikakapeke bafuni, nmekakosha fresh. Narudi room ,nikavalishe, sasa ile kukabeba ,kakanya yaan ndo kakaninyea kabisa nyaa
Nilikasirika sana, Mimi mwenyewe naumwa , siku tano ,nipo ndani ,sitoki popote pa mbali
Yaan huku unapika ,huku kanalia, kengine kanaporomoa vitu .
Muda wote MTU upo macho tuu.
Jumapili navirudisha...Nimechoka Wakuu.