Naomba ku share hii story na wanajukwaa

Naomba ku share hii story na wanajukwaa

honey bee

Senior Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
139
Reaction score
236
Heri ya mwaka mpya wanajamii forum, naomba ku share hii na ninyi!!!

Kuna mdada nilikuwa nampenda sana, nikaamua kumfungukia, akanikataa kata kata, ili kuepusha kale kauadui kanakojitokeza baada ya kukataliwa nikaamua kuwa rafiki yake wa dhati ili tusichukiane tu!

Siku moja kaniulizia kama ninaweza ku reset simu yake kwa sababu aliweka pattern usiku kufika asubuhi haikumbuki, nikaona hiyo ndo chance ya kutumia, nikamwambia anifuate kwangu niiflash, dada wa watu akaingia kwenye mtego nikajikuta nimekula kimasihara!

Cha ajabu kuanzia siku hiyo ananiganda sana, ameshasahau enzi zile namtaka ananikataa, sina feelings nae kwa sasa, isitoshe kashamfaham mpenzi wangu ndo kila siku anamfanyia fujo wanapokutana!!!
#Ninachojiuliza, ule msimamo wake ulienda wapi??

#Kwahiyo ina maana ukimtumia binti hata kama hakukupenda upendo unamjia dhidi yako???
 
Siyo kila mwanamke anakubali kwa kukwambia moja kwa moja "ndiyo" au "nimekubali". Kila mmoja ana namna yake.
Alipokuambia anaomba ui-reset simu yake ndio ilikuwa namna yake ya kukubali ombi lake akijua on the way mtakulana tu.

Pia umenishangaza, ulitaka akukubalie bila walau kusumbuka kidogo? Unafurahia mwanamke anayekukubalia harakaharaka? Wanaume tumeumbwa kuhangaika. Ukihangaika ndiyo akili inachangamka.

Mwenzety hupendi kuhangaika unataka easy meal. Hatari hiyo😀😀

Ninachosikitika amemkubalia mtu asiyejielewa wala asiyejali.
 
Heri ya mwaka mpya wanajamii forum, naomba ku share hii na ninyi!!!

Kuna mdada nilikuwa nampenda sana, nikaamua kumfungukia, akanikataa kata kata, ili kuepusha kale kauadui kanakojitokeza baada ya kukataliwa nikaamua kuwa rafiki yake wa dhati ili tusichukiane tu!

Siku moja kaniulizia kama ninaweza ku reset simu yake kwa sababu aliweka pattern usiku kufika asubuhi haikumbuki, nikaona hiyo ndo chance ya kutumia, nikamwambia anifuate kwangu niiflash, dada wa watu akaingia kwenye mtego nikajikuta nimekula kimasihara!

Cha ajabu kuanzia siku hiyo ananiganda sana, ameshasahau enzi zile namtaka ananikataa, sina feelings nae kwa sasa, isitoshe kashamfaham mpenzi wangu ndo kila siku anamfanyia fujo wanapokutana!!!
#Ninachojiuliza, ule msimamo wake ulienda wapi??

#Kwahiyo ina maana ukimtumia binti hata kama hakukupenda upendo unamjia dhidi yako???
Umei-reset simu yake halafu unagoma kumuwekea pattern ya kudumu?Unadhani itakuwaje sasa?
 
Alivyokuja nimtengenezee simu yake ghetoni ndo aliharibu!! Kwa alivyokuwa tu, nakuhakikishia hata kama ni wewe usingemuacha salama!! Isitoshe hapo awali ulikuwa unampenda!!

Kwa hiyo shida ipo kwako na si kwake...

Stop putting a blame on her...
 
Back
Top Bottom