Utajuaje mwanamke wako ameanza kukusaliti kimya kimya

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
1.Ukiona mwanamke wako sio mpiga story na wewe zaidi ya wewe ndio umekuwa ndio mpiga story ili kumfurahisha yeye lakini sio yeye mpiga story akufurahishe wewe

2.Mara nyingi mwanamke wako anapenda uwe unazungumza vitu vya point na msingi na kama huna cha kuongea anakuomba tupumzike

3.Mwanamke wako anakuwa mtu wa kupaniki na kujistukia pale unapomuuliza maswali haya ulikuwa wapi , ulikuwa unaongea na nani muda wote kwenye simu

4.Mara nyingi kuzungumza na wewe usiku anajifanya kachoka ana usingizi umemshika ila badae ukipiga simu utaikuta ipo bize au utamuona online whatspp

5.Ukianza kubadilika na kuanza kurudi hatua mbili nyuma kama kuna Kitu akianza kuhisi umestukia basi yeye hapo ndio anaoongeza mapenzi kwako mpka ushangae

Haya ongezea zingine unazozifahamu
 
1.ukiona mwanamke wako sio mpiga story na wewe zaidi ya wewe ndio umekuwa ndio mpiga story ili kumfurahisha yeye lakini sio yeye mpiga story akufurahishe wewe

2.Mara nyingi mwanamke wako anapenda uwe unazungumza vitu vya point na msingi na kama huna cha kuongea anakuomba tupumzike

3.mwanamke wako anakuwa mtu wa kupaniki na kujistukia pale unapomuuliza maswali haya ulikuwa wapi , ulikuwa unaongea na nani muda wote kwenye simu

4.Mara nyingi kuzungumza na wewe usiku anajifanya kachoka ana usingizi umemshika ila badae ukipiga simu utaikuta ipo bize au utamuona online whatspp

5.ukianza kubadilika na kuanza kurudi hatua mbili nyuma kama kuna Kitu akianza kuhisi umestukia basi yeye hapo ndio anaoongeza mapenzi kwako mpka ushangae

Haya ongezea zingine unazozifahamu
6. Ukiona chupa ya Mirinda kwenye dressing table....
 
Ujue tayari hana marinda matokeo yake ni fedheha kama hii..
FB_IMG_16410996598168622.jpg
 
siku hizi hawafanyi hivyo.

wanakuja kwako na mahaba full mpaka unapagawa...kumbe imeisha hiyo!!!!!
Wakitoka huko.

Ndani siku hiyo anakua na viubize ubize sanaaa na kukupetipeti wakati huo Simu yake iko mbali ,au kaizima kabisa.

Kuhofia meseji za mchizi "Ahsante kwa penzi lako

Nakama hiyo haitoshi...SIKU HIYO UKIMWOMBA MZIGO HAKUPI.

atasingizia kufanya kazi, kuchoka, anaumwa.

Kesho yake atachelewa kuamka.
 
Wanawake kwa taarifa yenu, Sisi waume zenu MAKINI, tunajua K zenu zilivyo .

Yaan uliwe Leo, nje, alafu nikule Kesho kutwa, nisijue kua umeliwa???

Huo ni uzembe wa hali ya juu.... Kwa mwanaume wako aliyekuzoea,na kuijua K yako, mabadiliko yoyote Ukeni lazima ananotice.

Hivi kweli nisafiri mwezi mzima bila kukula , ,K inakawaida yakujirudi kama haitumiki.

Alafu baada ya mwezi, miezi, nakuta break ni mapumbu???

My Dear, tunawajua sana tuuu ,sema tunakua hatuna ushahidi.
 
mkuu usituharibie
 
wasikuizi wajanja sana aisee mi ni wakuambiwa usitume meseji mpka nikutafue mwenyewe dady yupo, alafu ilo jina nimemfundisha mimi amuite mumewe dady
 
Wanawake kwa taarifa yenu, Sisi waume zenu MAKINI, tunajua K zenu zilivyo .

Yaan uliwe Leo, nje, alafu nikule Kesho kutwa, nisijue kua umeliwa???

Huo ni uzembe wa hali ya juu.... Kwa mwanaume wako aliyekuzoea,na kuijua K yako, mabadiliko yoyote Ukeni lazima ananotice.

Hivi kweli nisafiri mwezi mzima bila kukula , ,K inakawaida yakujirudi kama haitumiki.

Alafu baada ya mwezi, miezi, nakuta break ni mapumbu???

My Dear, tunawajua sana tuuu ,sema tunakua hatuna ushahidi.

Mbinu hiyo inatumika kama una kibamia tu
 
Kuna kitu kinaitwa gut feelings ambayo kila binadamu kaumbiwa na kazi yake kukupa taarifa ambazo wewe mwenyewe hauja observe kwa macho yako wala kushuhudia
Hizo feelings ukiwa nazo makini unaweza ukajua mpenzi wako anachepuka au laa na ziko very collect yani hata huyo mpenzi wako hawe muigizaji kiasi gani inakuwa ni wewe tu kuhakikisha au kutafuta ushahidi ila jambo unataarifa nalo

Mara nyingi hizo feelings zinaji express kama wivu au mashaka hivyo watu wengi hushidwa kuzielewa kwa kuzani ni uoga au wivu na niwatu wachache ambao wanazielewa

Binafsi huwa hizi feelings zimenisaidia kunasa tabia ya uchepukaji kwa mademu zangu wawili ambao kwa muonekano na matendo yao kila mwanaume angesema amepata wife material yani kifupi hata ishara hizo alizoziandika mtoa mada hapo juu hamna hata moja iliyojitokeza lakini walikuwa wanani cheat vizuri tu.

Siku nikipata wasaa nitakuja kuelezea hizo guts feeling ,jinsi ya kuzitambua na kuzitofautisha na hisia nyingine kama wivu,uoga,mashaka na n.k
 
Uko sahihi mkuu zimenisaidia sana nakua sina ushahidi but nawabana kwa hizo feelings na wanakubali wamecheat
 
Kuna kitu kinaitwa gut feelings ambayo kila binadamu kaumbiwa na kazi yake kukupa taarifa ambazo wewe mwenyewe hauja observe kwa macho yako wala kushuhudia
Hizo feelings ukiwa nazo makini unaweza ukajua mpenzi wako anachepuka au laa na ziko very collect yani hata huyo mpenzi wako hawe muigizaji kiasi gani inakuwa ni wewe tu kuhakikisha au kutafuta ushahidi ila jambo unataarifa nalo

Mara nyingi hizo feelings zinaji express kama wivu au mashaka hivyo watu wengi hushidwa kuzielewa kwa kuzani ni uoga au wivu na niwatu wachache ambao wanazielewa

Binafsi huwa hizi feelings zimenisaidia kunasa tabia ya uchepukaji kwa mademu zangu wawili ambao kwa muonekano na matendo yao kila mwanaume angesema amepata wife material yani kifupi hata ishara hizo alizoziandika mtoa mada hapo juu hamna hata moja iliyojitokeza lakini walikuwa wanani cheat vizuri tu.

Siku nikipata wasaa nitakuja kuelezea hizo guts feeling ,jinsi ya kuzitambua na kuzitofautisha na hisia nyingine kama wivu,uoga,mashaka na n.k
Ukipata muda uziweke hapa ili nianze kumfuatilia shemeji yenu...
 
Back
Top Bottom