Wale wenye bahati zao waliowahi kutongozwa na wadada mje hapa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,505
30,912
Aisee ukishangaa ya firauni utayaona ya Musa.

Kuna rafiki yangu mmoja dah, jamaa ana bahati sana yaani sehemu yoyote wakati wowote mkiwa nae lazima kuna kademu katamtokea. Hii imekaaje? Kweli wenye bahati hawabahatishi.

Hebu wenye bahati zenu mtujuze maujanja na sisi tupate hizo zali.
 
:cool:
Aisee ukishangaa ya firauni utayaona ya Musa.

Kuna rafiki yangu mmoja dah, jamaa ana bahati sana yaani sehemu yoyote wakati wowote mkiwa nae lazima kuna kademu katamtokea. Hii imekaaje? kweli wenye bahati hawabahatishi.

Embu wenye bahati zenu mtujuze maujanja na sisi tupate hizo zali.
Mkuu hiyo ni bahati au nuksi
:cool::cool:
 
Kuna kamoja tulikaa siti moja kwenye hiace,kaka niuliza eti "kaka samahani unayafahamu maduka wanayo uza material ya kutengenezea sabuni za chooni hapa mjini.. Nika mjibu ndiyo, kakasema nataka kesho nifuate naomba namba yako ,nika mpa, saa kuminambili kananitumie text ati unafanya nini ? Nika mjibu nafua kakasema nije nikufulie =my love= nika mwambia njoo, akasema na mwogopa wifi , nika mwambia hayupo. Kakaniuliza nishukie wapi?nika mwelekeza . Baada ya dakika kadhaa mtu kaja..hakuna cha kufua wala material ya sabuni, ni kuniita tu majina mara ,love, hone, mara ametokea kunipenda. Abarikiwe mtaalamu alie gundua condoms, . Chupuchupu huyu demu alo nitongoza ni mwoe sema tu alikwenda nursing, ila huyu manzi tume dumu kwenye mahusiano kuliko mamanzi nilio wahi kuwa tongoza. MPaka sasa akiwa likizo lazima aje.. Field zote mkoani kwangu. Manze tufuteni dhana ya manzi akikutongoza ana kisasi au kahaba au gono,
 
Ni dhana potofu kutokewa na msichana kwamba ni malaya.

Wasichana wanapenda pia. Tatizo wanaume wengi wagumu kuelewa lugha za mademu.

Mtu anajihidisha kukuongelesha kila siku pale ofisini, kupitita ana smile na kukuangalia hadi kisogo cha mwisho unapptezea.

Anakuamini hata kitu kidogo anakuuliza, unachukulia poa.. wakati kuna wanaume wanamkimbiza demu huyo huyo na anawatolea nje.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom