Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zamihangaiko wanajamvi wenzangu,wasalaam,binafsi nimekua nikishangazwa najinsi ambavyo ndugu wadamu au waukoo,kipindi cha kisoma/kutafuta maisha wakati mkiwa wadogo au vijana ambao...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Daaah aisee hapa mtaani kwetu kuna jamaangu mmoja tozi sana anapenda kupaka breach jamaa anawala mademu sana kila kukicha bila kuwapa hela kuna demu mmoja ni rafk angu aliniambia dah yule jamaako...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Hu ni mpango wa Mungu au ndio nakosea tena mara ya tatu? Baada ya kupata maumivu ya kwanza tena na ya pili ya natokea haya: Kwa muda mrefu nilikuwa na workmate wangu ambaye alikuwa na...
8 Reactions
247 Replies
12K Views
Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari...
10 Reactions
82 Replies
10K Views
Wasifu wangu. Mrefu Mwembamba Dini -Mkirsto Kazi -Mwajiliwa serikalini Umri 32 Situmii kilevi chochote Natokea Nyanda za juu kusini Awe na sifa zifuatazo 1.Mkirsto 2.Mfanyakazi/Amejiajili...
4 Reactions
3 Replies
719 Views
Mi ni msichana nimeajiriwa na umma sijawahi kuishi na mume na wala sina mtoto kutokana na kusoma. Nahitaji mwanaume ambaye anania ya kuanzisha mahusiano mapya awe mkristo anaejishughulisha Asante
9 Reactions
39 Replies
5K Views
Niende kwenye mada Nimekerwa sana na tabia yangu, na naendelea kuomba Mungu nimudi kuepuka mahusiano haya. Nimefanikiwa kumtaka tukae mbali na mambo ya kipuuzi tuliyoanzana. Wakati wa hagaiko la...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Wana jf Wanawake wapenda vituko aubwanaofanya vituko vya kushtua ndio wanawaniwa sana na wanaume. Sasa unakuta aliyefanya na Fanta au milinda anatafutwa sana mbali na kufanya ufilauni...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Huyu manzi wangu nampenda sana lakini tangu alijue kanisa la Efatha imekuwa nongwa, muda wote yuko bize na vikao vya kanisani hta mzigo sipewi kabisa this time. Nimejaribu kumtia mikwala but...
17 Reactions
62 Replies
5K Views
Kama nilivyojieleza hapo juu. Nahitaji mwanamke ili awe nyumba ndogo yangu. Napendekeza zaidi awa kutoka mikoa ya Mbeya zaidi sana mkoa wa Songwe. Mimi ni mfanyabiashara nina mke na watoto...
3 Reactions
76 Replies
5K Views
Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake...
1 Reactions
281 Replies
85K Views
[emoji109] JF mambers! Mwanamke mwerevu akikupenda, anakuchunguza upo vipi!? Unapenda ujinga ujinga au hupendi! Vile ulivyo, kama unapenda ujinga ujinga anakuja kwa staili hiyo hiyo ili...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Mnisamehe sana kama kuna makosa ya Kisarufi /Maana Kwenye Lugha yenu. si mwandishi mzuri sana Habari zenu Yupo Ndugu au Mdogo wangu japo si wakuzaliwa nimejuana nae toka 2004 kipindi nipo...
12 Reactions
133 Replies
21K Views
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko. Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa Dar es salaam. Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua.. Tatizo Ni kwamba wao...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua...
16 Reactions
52 Replies
7K Views
Wazee kweny harakat za kutafta maisha nilishawahi kuishi sehemu tupo na wanawake pamoja ila haturuhusiwi kuwa na mahusiano kabisa ya kimapenzi Sheria zilikuwa kali mno na hakuna ruhusa ya kutoka...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Igweeeee Kwanza nipongeze kwa huduma bora. Nakuomba mnamo tarehe tatu mwezi january nilikuja ulinifanyia vipimo vya xray kwa weredi mkubwa nimdada mweupe mnene kiasi ulikuwa umevaa kigauni min...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA mbinguni. Moja Kwa moja KWENYE kisa siku ya KRISMAS Nilikuwa zangu sokoni asubuhi nimeenda kuhemea madiko ya sikukuu maana wife ana Mimba na inamsumbua kidogo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mambo yamekua sio mambo asubuhi ya Leo tarehe 5 nikiwa nakunywa chai nasikia makelele kwa jirani na sauti za kuomba msaada. Basi Kama ilivyo ada ya watanzania tukaenda na wife kuangalia Kuna Nini...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom