Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

Natakakutulia

Member
Jan 20, 2020
50
150
Habari wanajamvi,

Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.

Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza utadhani malaika uwii mwanzo nilijua huenda ananiigizia kumbe ndivyo alivyo yapata mwaka sasa ila ndio penzi linazidi kuwa tamu tu jamani.

Yaani kakamilika kila idara anajua nataka nini kabla sijasema kafanya hakika duniani bado kuna wanaume, tukiwa ndani ndio ibaki kuwa siri yangu maana uwiii.

Nami najitahidi kumpa heshima, uaminifu wa kiwango cha SGR na nidhamu kama zote na sukari nampatia la hela yote yaani sitaki chezea bahati.

Mapenzi matamu nyie acha tu labda kama hujapewa.

Nalog off

1622887854013.png

 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
22,883
2,000
Hakuna majitu nayadharau kama hayo MABOYA.....kazi kula kodi zetu tu PUMBAVU.....nimeshayagongea WAKE zao kama WANNE hivi....kitandani sifuri hayo MABOYA...ni MALEVI tu.
Mkuu umeshawahi kuonjeshwa na mjeda?
 

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
4,995
2,000
Hao jamaa wengi wao ni madomo zege ndo maana wakibahatisha demu humgharamia sana wakiogopa kuachwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom