Mwanaume wenzangu katika dunia hii hakuna kiume mkatili ka upande wetu wa kushoto
Mwanamke akibadilika ni heri mbwa mwitu kuliko kiumbe hii. Kwann nasema hivyo yamenikuta mengi kwa hawa viumbe wa kushoto.
Kiukwel sijawahi umizwa katika mahusiano Kama nilivyoumizwa mwaka Jana daah! Kuna mdada nlipenda nlampa Kila alichohitaji ila mmmh! Noma snaaa....!!