Maajabu ya ulimwengu wa Mapenzi, kwanini kadri muda uendavyo wapenzi wanachukiana, mahusiano kuvunjika au kuuana?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Je , umewahi tafakar hili suala ukapata majibu??

Mwanzoni mwa Mapenzi , wapenzi hupendana, husikilizana na kuahidiana makubwa katika maisha ya mahusiano yao, wataitana kila Aina ya majina kama vile hon, sweetie, nk

Kadri muda uendavyo, ndivyo mahusiano hupotea baina yao, kutoka kuitana hon, sweetie nk mpaka mama fulani au baba fulani au fulani, taratib wanaanza kupoteana, utasukia nmechoka nmechoka nimechoka, utasikia usinipelekeshe mbwa wewe, Tena unikome, baadae ubondia na Kung Fu ama umashuhuri wa kushikiana mapanga na kucharazana Kama buchani. HAPA NDIPO TAMU HUGEUKA CHUNGU NA NDOA KUWA NDOANA!

Je, ni nin huwa kinasababisha wapendanao wakageuka kuwa maadui, na wengine kufikia hatua ya kuuana???

NB: Enyi mlio kwenye mahusiano yenu na ndoa zenu, Mungu awalinde, muwe na mwisho mzur wa Mwaka 2021!!
 
Mkiwa mumeungana (wapenzi) kwa sababu ya mapenzi pekee mwisho wa siku mtachokana kwa sababu kuna maisha mengine na mambo mengine ya kujadili nje ya mapenzi.

Ila wanandoa mkiwa ni watu mnaelewana mnapiga stori wote,mnashare experience za maisha,mnapeana umbea wa makazini yaani mnaishi kama mtu na rafiki yake hapo maana yake mkiwa bored na mapenzi basi urafiki wenu unawaunganisha maisha yanaendelea.

Jiulize kwamba yule rafiki yako hasa ushawwahi kuwa bored ama ukamchoka kwamba hujiskii kukaa naye ?
Wengi watasema hapana kwa maana rafiki haboi rafiki hachoshi kwa sababu muna mambo mengi ya kushare na kuzungumza yanayowafanya muendelee kuhitaji kuwa pamoja.

Ila imagine tu huyo huyo rafiki yako mkawa kila mkikaa mnazungumzia urafiki wenu tuu mlianzaje kuwa marafiki namna mnavyopendana na urafiki wenu basi mkiwa na stori za mfumo huu tuu lazima mtachokana maana mtakuwa hamna jambo jipya..

Na kadhaalika mkeO ndio hivyo hivyo,ikiwa wewe na mkeo stori zenu ni mapenzi tuu hamna stori zingine basi itafika hatua mtachokana kwa sababu binadamu anatakiwa awe na mambo mengi ya kuzungumza sio ngono tuu muda wote na mkeo.

mkiwa mnaunganishwa na ngono tu utakuta mkiwa bored na mapenzi mnakuwa kama mabubu ndani hakuna extra stories za kupiga.

Hii ni kwa sababu mtu akiwa na rafiki wanaendana wanaweza kukaa na wasichokane kwa sababu wana mambo mengi ya kushare

,ila mpenzi wako hamuwezi kukaa muda wote mkaongea mapenzi,that's why ni bora sana wanandoa wawe na urafiki kwa 85% then 15% ndio waingize hayo mapenzi as an emergency tu.

Ndio kuna misemo unasema

"Ndoa si mahusiano ya mume na mke katika mapenzi pekee,bali ni mahusino ya mume na mke katika mambo yote yahusuyo maisha"

Hivyo kila kinachohusu maisha basi wanandoa wanatakiwa kujadili suala hilo ikiwa mahusiano yao yana afya.

Juzi nilikuwa na wife tukawa tunajadili kuhusu ile clip ya fanta na mirinda,

leo tulikuwa tunajadili majibizano ya spika na ccm wenzie na sisi tukawa tunaweka mawazo yetu mimi na mke wangu,ni kuonesha tu kwamba tunajadili mambo yote yahusuyo maisha.
 
Mkiwa mumeungana (wapenzi) kwa sababu ya mapenzi pekee mwisho wa siku mtachokana kwa sababu kuna maisha mengine na mambo mengine ya kujadili nje ya mapenzi.

Ila wanandoa mkiwa ni watu mnaele2ana mnapiga stori wote,mnashare experience za maisha,mnapeana umbea wa makazini yaani mnaishi kama mtu na rafiki yake hapo maana yake mkiwa bored na mspenzi basi urafiki wenu unawaunganisha maisha yanaendelea.

Ila mkiwa mnaunganishwa na ngono tu utakuta mkiwa bored na mapenzi mnakuwa kama mabubu ndani hakuna extra stories za kupiga.

Hii ni kwa sababu mtu akiwa na rafiki wanaendana wanaweza kukaa na wasichokane kwa sababu mana mambo mengi ya kushare,ila mpenzi wako hamuwezi kukaa muda wote mkaongea mapenzi,that's why ni bora sana wanandoa wawe na urafiki kwa 85% then 15% ndio waingize hayo mapenzi as an emergency tu.
NAUNGA MKONO HOJA HII NA KILO 900 ZA SIMENTI
 
Je , umewahi tafakar hili suala ukapata majibu??

Mwanzoni mwa Mapenzi , wapenzi hupendana, husikilizana na kuahidiana makubwa katika maisha ya mahusiano yao, wataitana kila Aina ya majina kama vile hon, sweetie, nk

Kadri muda uendavyo, ndivyo mahusiano hupotea baina yao, kutoka kuitana hon, sweetie nk mpaka mama fulani au baba fulani au fulani, taratib wanaanza kupoteana, utasukia nmechoka nmechoka nimechoka, utasikia usinipelekeshe mbwa wewe, Tena unikome, baadae ubondia na Kung Fu ama umashuhuri wa kushikiana mapanga na kucharazana Kama buchani. HAPA NDIPO TAMU HUGEUKA CHUNGU NA NDOA KUWA NDOANA!

Je, ni nin huwa kinasababisha wapendanao wakageuka kuwa maadui, na wengine kufikia hatua ya kuuana???

NB: Enyi mlio kwenye mahusiano yenu na ndoa zenu, Mungu awalinde, muwe na mwisho mzur wa Mwaka 2021!!
Inategemea mlivyozoeshana na mmeungana kufunga ndoa kwa sababu ipi

sio kila wapenzi wanachukiana
 
Mkiwa mumeungana (wapenzi) kwa sababu ya mapenzi pekee mwisho wa siku mtachokana kwa sababu kuna maisha mengine na mambo mengine ya kujadili nje ya mapenzi.

Ila wanandoa mkiwa ni watu mnaele2ana mnapiga stori wote,mnashare experience za maisha,mnapeana umbea wa makazini yaani mnaishi kama mtu na rafiki yake hapo maana yake mkiwa bored na mspenzi basi urafiki wenu unawaunganisha maisha yanaendelea.

Ila mkiwa mnaunganishwa na ngono tu utakuta mkiwa bored na mapenzi mnakuwa kama mabubu ndani hakuna extra stories za kupiga.

Hii ni kwa sababu mtu akiwa na rafiki wanaendana wanaweza kukaa na wasichokane kwa sababu mana mambo mengi ya kushare,ila mpenzi wako hamuwezi kukaa muda wote mkaongea mapenzi,that's why ni bora sana wanandoa wawe na urafiki kwa 85% then 15% ndio waingize hayo mapenzi as an emergency tu.
Maneno yenyeweee... Happy new year kwakoooo.

Nimekupenda bureeeee kabisa
 
Big facts
 
Kuchokana ni lazima kwenye mahusiano ila wengi wenu ni ving'ang'anizi mtu unapigwa Mara unafumania na bado upo tuu eti nalinda ndoa yangu?😏
 
Back
Top Bottom