Love is about flowing.

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,852
Kwa wale ambao walishaota wanakojoa na wakajikojolea ndo wanaweza kuelewa hicho kichwa cha mada!.
"Love is about flowing".

Mkikutana wawili mliokutanishwa na upendo wakweli hamuwezi tumia nguvu katika mapenzi yenu vitu vitakwenda smoothly!.
Akilia unambembeleza.
Akicheka unacheka nae.
Akiumwa unamuuguza.
Hata mapigo yenu ya moyo yatadunda pamoja yani gubigubigubi..

Mapenzi sio mikasa ati maelewano mpaka mtiane manundu!.. mapenzi ya kweli cheko lake ni furaha yako.
Vitu vinavyorandana hutembea pamoja.

Hii 2022 hakikisha unampata yule wa kuflow nawewe,ambae hata ukilalanae kitanda kimoja unaota unananiliu nae na sio unakabwa na jinamizi..๐Ÿ˜‚

Niwatakie heri katika maisha.
 
Sawa ngoja tutafute, sasa hivi nipo Somalia kiendelea kitafuta, nikikosa hapa nahamia Djibouti halafu Yemen...
 
Kumpata mtu wa aina hiyo ni mtihani mkubwa sana, sasa kwa maana sasa hivi message ya "I miss you" imekuwa "Babe nikwambie kitu?"
Heri ujitahidi kumpata kuliko kuchukua mzinga wa nyuki ujiwekee ndani.๐Ÿ˜‚
 
Nikweli mkuu ila mahusiano ya miaka hii imekuwa nivigumu kumpata malaika anayekupenda kwa dhati.
Akili nyingi zimehamia kwenye ngono na pesa,
siku hizi hakuna ile unakaa na mpenzi wako mnaanza kupigiana hadithi na utani wa hapa na pale, yaani imebakia unakuja getto saa ngapi, sina nauri, upuuzi mtupu
 
Hao malaika bado wapo mkuu mbona! Shamba bado linamazao ya kutosha hayajaoza yote..
 
mmmmh, kuwapata sasa hesabu zake sio za level hizi labda undondokewe na rehema za Mungu
 
Jema na likufikie mkuu
 
Jema na likufikie mkuu
๐—จ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ต๐—ถ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚, 2022 ๐—ป๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜€๐—ต๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ท๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—บ๐˜๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐˜‚ ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—ป๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ
 
Katika uchaguzi wako usiangalie tu tamaa za mwili bali chagua kilichochema uishi kwa furaha.
 
๐—”

๐—”๐˜€๐—ฎ๐—ป๐˜๐—ฒ ๐—ธ๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜‡๐—ถ
 
Back
Top Bottom