Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilimpenda sana akanizalia watoto tumeishi miaka kumi sikutegemea kama atakuja kuniacha ila alishawaambia baadhi ya watu kuwa ataondoka. Nasasa ameondoka kweli hakika wanawake ni wabaya sana...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Msaada kwa mdau rafiki yetu Nimejikuta njia panda baada ya meneja wa kampuni yetu (Mwanamke) kuniwekea mazingira magumu kwenye swala langu la kuoa. Hivi karibuni niliitisha michango ofisini kwetu...
14 Reactions
75 Replies
7K Views
Za saa hizi Wana MMU? Natumai mpo salama kbsa na tumshukuru Mola kwa kutuwezesha kuiona siku nyingine mpya. Duniani Mambo Ni mengi muda mchache, Kuna mwanamke mmoja alikuwa anafanya kazi katika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Familia ya baba mama na watoto wawili iliamua kusafiri ili kutafuta elimu nzuri ya watoto na maisha bora kwao wenyewe. Walifika Canada na kuanza maisha. Hali ilikua ngumu, walikaribishwa na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za humu wana jamii forum wote. Hii mada imemili sana katika suala la maamuzi ya Wanawake hasa katika mambo kadha wa kadha ila hasa katika mahusiano. Mada hii naiweka katika mtindo wa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mimi nina miaka 34, natafuta mwanamke wa kinyakyusa aliye mnene na mrefu. Umri wowote. Nataka ambaye mbaye yupo tayari kuanza maisha ya kindoa hata kama ana mtoto. Nipo Songea. Namba yangu ni...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
SIRA 9 Wanawake 1Usimwonee wivu mke umpendaye; utakuwa umemfundisha namna ya kukudhuru. 2Usimwachie mwanamke ukuu wako, la sivyo atakutawala kabisa. 3Usifuatane na mwanamke wa tabia mbaya, la...
10 Reactions
96 Replies
14K Views
Habari wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mpo salama na mnaelendea vyema na mishe zenu za kimaisha.Moja kwa Moja acha niingie kwenye mada husika. Kuna jamaa mmoja alikuwa na mke wake na...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Last year November nilikutana na huyu ex wangu yakatokea yaliyotokea maana nadhani ile kauli mbiu ya mtalaka huwa hatongozwi bado ni valid. Sasa last week akanipigia simu akaniambia...
9 Reactions
66 Replies
48K Views
Mara nyingi tunawavumilia watu tunaowapenda bila kujua kama wao wangeweza tuvumilia vivyohivyo kama tunavyowavumilia. Iwe rafiki, ndugu, ama mpenzi.. ukitakamfanyia jambo mtu yeyote, jiulize...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za wakati huu nimepata kitu ningependa kushiriki nanyi wapendwa.. 1)Mahusiano ni magumu na kila uhusiano ni tofauti kikubwa fuata hisia zako tu. 2)Subiri umri sahihi ufike usichekewe sana...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
READER DISCRETION IS ADVISED Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti...
1 Reactions
2 Replies
848 Views
Faida za kujamiiana 1.Kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako ni jambo zuri sana katika mahusiano. Kuwa katika mahusiano pasipo kufanya mapenzi na mwenza wako ni kama tu kuwa na rafiki yako...
12 Reactions
22 Replies
16K Views
Tulianza vibaya mwaka mpya na Ma msapu. Kisa kidogo tu nilimwambia sitoweza kumsaidia jambo ambalo yeye aliona ni muhimu nami nikasema sio kama vipi nipe muda.Alikasirika akaniambia hiyo ndio...
7 Reactions
32 Replies
6K Views
Hello wanaume wenzangu kokote mliko. Nawaasa sana kokote mliko Kama una familia ama hauna unaweza kuwa nayo after some time Kuna vitu katika haya maisha si vya kuweka katika miliki ya mwanamke...
17 Reactions
44 Replies
4K Views
Naitwa Catherine natafuta mwenza sifa zangu! -Umri 32 -Dini Mkristo -Elimu Degree -Kazi Mwajiriwa -Sina mtoto Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo Awe- Dini mkristo -Umri 34-45 -Awe anajishughulisha
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna vitu viwili napenda niviongelee hapa. 1.EMOTIONAL CONNECTION 2.CHEMICAL BOND Sasa lengo la kuwa romantic mwanaume kwa mwanamke ni kutengeneza EMOTION CONNECTION, sasa what does it mean...
10 Reactions
43 Replies
9K Views
Habari humu ndani? Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni...
37 Reactions
199 Replies
15K Views
Mimi si mwanachama na mchangiaji sana huku MMU, lakini hata bubu aking'atwa ataongea hata neno. Huku kuna walimwengu wa maisha halisi ya kibantu. Hadithi ni ndefu lakini nitaifupisha. Nina mke na...
23 Reactions
257 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…