Zikomo Songea
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 670
- 582
Wakuu, yuko wapi General Galadudu? Ni muda mrefu sana sijasoma post zake humu JF MMU. Ni muda mrefu sana sijasikia habari za "manati yake ya kizungu" na mambo mengine mengi.
Mkuu General Galadudu, hebu fanya fanya utupie ka post ka kufungia mwaka!
Mkuu General Galadudu, hebu fanya fanya utupie ka post ka kufungia mwaka!