Sijui kama ni wivu au alinichoka

Komando kipen

Member
Jul 13, 2021
49
36
Nilikua nae kwa mda wa miaka mitatu tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume amewahi, kuondoka nakurudi kwao mala 2 hii safari ya tatu. Kibaya zaidi hataki kupokea cm ananitukana matusu kwenye sms kilanikitaka kumujulia mtoto hali yake.

Mara ya kwanza aliondoka alikuta sms ya jinsia yakike kwenye cm akachukua cm haikujulikana kapeleka wap nilivyo muuliza ananimbia kuna Masai alimpa dawa ya uzazi, nilivyomuuliza anakudai shilling ngap anasema elf 15 simu ilikua Samsung.

Kesho yake nimerudi nyumbani nikakuta kufuri ufunguo kwa majilani cm yake haipatikani kwao wakadai hawana taarifa. Nikakaa mwezi mmoja nikamfata, tukakaa matusi yakaanza tena hupendi watoto hutaki nizae ,tunaenda hospital wakapima ultrasound pelvic inaonesha ana retlovated uterus kitaalamu wanasema hakuna shida yoyote kuhusiana na kuzaa, ananimbia kunadawa ya kienyeji yakukalia.

Lakini mwaka mmoja nyuma aliwahi kubeba mimba ikafikisha mwezi mitatu akavuja damu, Dr anasema anashangaa hajawai kuona mimba ya hivi maana mimba ilikua unakua badala mtoto akulie kwenye uterus alikua anatoka nje ya uterus hivyo ikasababisha mimba kutoka baada ya hapo ndo shida zilianzia.

Mara ya pili aliondoka nilikua nimekwenda hospital kazin kila nikichelewa anambia nilikua kwa wanawake lakini mim nilikua najitolea hivyo silipwi, nilikua natafuta uzohefu nikawa nauziwa shift mfano naingia saa natoka saa 8 Dr wa saa 8 anakwambia nishikie zamu mpaka saa2 usiku baadae upitie hela.

Nikakuta ameondoka na pesa kidogo tulikua tumetunza sikujali nilikaa baada ya mda miezi4 nikamfata mda huo alikua na mimba ya miezi 3 hivyo nikamfata, mimba ilikua na miezi Saba ili ajifungulie hospital nilipokua najitolea maana niliajua itanisaidia zaidi.

Mungu si asumani mungu akajalia akajifungua salama japo ugomvi wetu ulikua pale pale manusula afanyiwe operation, alijifungua mwezi wa pili mimi nikawa ninaendelea nashift zangu za volunteer kama kawaida mtt kafikiaha miezi mtata ugomvi wetu ukawa kawaida .
Siku hiyo nimechelewa nikarudi sa3 usiku na sabuni ya unga ya Lita 10 nikafikia matusi ya Wana wake nikaombwa nauli aende kwao. Nikaongea na mama mkwe akaongea nae yakaisha, baada ya wiki ikaanza tena .

Nilikua nimeacha shilling elfu30 nikawa Sina hata mia ya vocha nikaangalia tunapotunza pesa Sion kitu nikakuuliza kanambia anataka kumununulia mtoto begi la nguo poa nikakubali kesho yake jion nikaja nikaambiwa tena nimechoka kukaa naomba nauli.

Daa nikamwambia Sina kitu kama unaweza nivumilia subiri jioni nakujanayo anasema hataki nikamwambia basi chukua kitu kimoja Kati PC ,sabufa au flat uza, saa5 asubuhi nikaambiwa ana hamisha vitu vyote vya ndani nikaja tukasuruhishwa na wazazi yakaisha anaomba nauli nikampa elf40 akakataa nauli ni elf 15 kufika kwao nikamuuliza kuhusu elf30 tuliyo tunza ana SEMA ni elf 10 mbele ya wazazi.
 
Nimesoma hivo hivo nimeelewa, ungeandika kiingereza uko vizuri sana.

Cha mwisho pole sana ndugu. Hawa wanawake wanashida sana baadhi yao. Nimesoma na kauchungu flani nimepata. Hajali kabisa mapambano yako. Embu mpe muda muache tu kidogo, labda Mungu atasimamia hili jambo hata mtoto wako utamuona tu siku. Tuma tu hela za matumizi kama una uhakika ni wako.
 
Nilikua nae kwa mda wa miaka mitatu tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume amewahi kuondoka nakurudi kwao mara 2 hii safari ya tatu.kibaya zaidi hataki kupokea cm ananitukama mtusu kwenye sms kilanikitaka kumujulia mtt haliyake.

Mara ya kwanza aliondoka alikutasms ya jinsia yakike kwenye cm akachukua cm haikujulikana napeleka wap nilivyo muuliza nanambia kama Masai alimpa dawa ya uzazi, tulivyomuuliza anakudai shilling ngap anasema elf 5 simu ilikua samasang.keshoyake nimerudi homie kula nikakuta kufuri ufunguo kwamajilani cm yake haupatikani kwao wakadai hawana taarifa. Nikakaa mwezi mmoja nikamfata tukakaa matusi yakaanza tena hupendi watoto hutakinizae tunaenda hospital wakapima ultrasound pelvic inaonesha ana retlovated uterus kitaaramu wanasema hakunashida yoyotu kuhusu kuzaa nanambia kunadawa ya kienyeji yakukalia.

Lakini mwaka mmjo nyuma aliwahi kubeba mimba ikafikisha mwezi mitatu ikavuja damu Dr anasema anashangaa hajawai kuona mimba ya hivi maana mimba ilikua unakua badala mtto akulie kwenye uterus alikuaanatoka nje ya uterus hivyo ikasababisha mimba kutoka baada ya hapo ndoshida zilianzia.

Mara ya pili aliondoka nilikuanimekwenda hospital kazin kilanikichelewa anambia nilikua kwa wanawake lakini mim nilikua najitolea hivyo silipwi nilikuanatafuta uzohefu nikawanauziwa sift mfana naingia saa2 natoka saa 8 Dr wa saa8 anakwambia nishikiezam mpaka saa2 usk baadae upitie hela.akawaameondoka napesa kidogo tulikua tumetunza sikujali nilikua baada ya mda miezi4 nikamfata mdahuo alikua na mimba ya miez3 hivyo nikamfata mimba ilikua na miezi Saba ili ajifungulie hospital nilipokuanajitolea maana nikajua itanisaidia zaid.

Mungu si asumani Mungu akajalia akajifungua salama japo ugomviwetu ulikua pale pale manusula afanyiwe operation alijifungua mwezi wa pili miminakawa nikaendelea nashipt zangu za volunteer kama kawaida mtt kafikiaha miezi mtata ugomviwetu ukokama kawaida sikuhiyo nimechelewa nikiludi sa3 usk na sabuni ya unga ya Lita 10 nikafikia matusi ya Wana wake nikaombwanauli haendekwao nikaongea na mama mkwe akaongeanae yakaisha baada ya wiki ikaanza tena nilikuanimeacha shilling I el30 nikawa Sina hata mia ya vocha nikaangalia tunapotunza pesa Sion kitu nikakuuliza kanambia anataka kumununulia mtt begi langua poa nikakubali jion nikaja nikaambiwa tena nimechoka kukaa naomba nauli.

Daa nikamwambia Sina kitu kama unaweza nivumilia suburi jion nakujanayo anasema hataki nikamwambia bas chukua kitu kimoja Kati PC ,sabufa au flat. Uza saa5 asbh nikaambiwa anahamisha vituvyote vya ndani nikaja tukasuruhishwa na wazazi yakaisha anaomba nauli nikampa elf40 akakataa nauli ni elf 15 nikakuuliza kuhusu elf tuliyo tunza ana SEMA ni elf 10 mbele ya wazazi.
Ndugu sijui umeandika nini. Yaani lugha haieleweki kabisa kabisa.

Pole mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama nimekusoma vizuri huko mwanzoni, wewe mwandishi utakuwa aidha daktari au clinical Officer au... vyovyote, kifupi ni mtoa huduma kwenye nyanja ya afya.

Na nyie ndo mnasifika kwa mwandiko mbaya, usioeleweka.

Tunawaombeni, mnapokuja kwenye ulimwengu wa social media mjitahidi kujielewa ili mueleweke
 
NGOJA NIKUANDIKIE VIZURI BROTHER.

Nilikua nae kwa muda wa miaka mitatu hadi sasa, na tumebahatika kupata mtoto mmoja wakiume.

Amewahi kuondoka na kurudi kwao mara mbili na hii mara ya tatu na kibaya zaidi hataki kupokea simu yangu na ananitusi kwenye meseji kila nikitaka kumujulia mtoto hali.

Mara ya kwanza alivyoondoka alikuta meseji kutoka kwa mwanamke kwenye simu yangu. Alichukua simu aina ya Samsung akaondoka nayo na nilivyo muuliza aliniambia kwamba kuna mmasai alimpa dawa ya uzazi lakini hakumlipa hela shilingi elfu 5 kwahiyo ameichukua kama malipo.

Kesho yake nimerudi nyumbani kula, nikakuta amefunga mlango na kufuli, na ufunguo upo kwa majirani. Nilipojaribu kumpigia simu yake ikawa haipatikani na nilipowapigia nyumbani kwao (ukweni) wakasema wao hawana taarifa na alipo.

Nilikaa mwezi mmoja, nikaamua kumfuata kwao, na tukaishi kwa amani kwa muda mfupi ila tena matusi yakaanza. Alikua analalamika akisema sipendi watoto, sipendi yeye azae.

Niliamua twende hospital kwa wataalam wa uzazi, wakamfanyia vipimo na kumkuta ana retlovated uterus ila Dokta akasema haina shida yoyote.

Mwaka mmoja kabla ya kuanza hivi vituko aliwahi kubeba mimba ikafikisha miezi mitatu ikatoka kwa bahati mbaya (miscarriage). Daktari alisema sio kawaida mimba ijitunge nje ya uterus, na ndivyo ilivotokea kwa mke wangu.

Baada ya hiki kisa ndio matatizo na ugomvi na mke wangu ulipoanza.

Mara ya pili alivyoondoka, ni baada ya mimi kuchelewa kurudi kutoka kazini kwangu (hospital). Safari hii aliondoka na pesa kidogo tuliokua tumeweka kama akiba, na aliondoka akidai nachelewa kurudi nyumbani nilikua kwa wanawake wengine. Mimi nafanya kazi ya uuguzi katoka hospital xxx ambapo najitolea ili nipate ujuzi, iwe rahisi kupata ajira hapo baadae.

Aliondoka akiwa na ujauzito wa miezi minne, na nilimfuata baada ya miezi mitatu, muda huo ujauzito ukiwa umetimiza miezi saba.

Muda wa kujifungua ulipofika, alijifungua salama kwa njia ya operation. Ila hii haikuepusha visa na ugomvi wetu, kwani viliendelea vile vile kama zamani.

Mara ya tatu kuondoka, ilikua siku ambayo nimetoka kazini, na nilirudi nyumbani saa tatu usiku nikiwa na sabuni ya unga ya kufulia lita 10. Ile kufika, nikapokelewa na matusi nikidaiwa nimetoka kwa wanawake na akaniomba nauli kesho asubuhi arudi kwao. Kipindi iko mtoto wetu ana umri wa miezi mitatu tu.

Niliona ni busara nikiongea na Mama Mkwe kwenye simu na kumueleza kila kitu, nae akaongea na mwanae akamsihi abaki, na kweli yakaisha.

Ila baada ya wiki, nilikua nimemuachia shilingi elfu therathini, huku mi nikiwa sijabakiwa na pesa yoyote. Nilipotaka kuchukua kiasi kidogo nikatumie nikakuta pale tunapotunza pesa sioni kitu, nikamuuliza akasema ile pesa ametumia kununua begi la nguo la mtoto. Nikapiga moyo konde.

Siku hiyo hiyo jioni nilivorudi kazini, akaniambia amechoka kukaa hapo anaomba nauli arudi kwao. Nikamuambia kwa sasa sina hela, nipe muda kidogo nitafute ila akakataa. Nikamwambia basi chukua kitu kimoja Kati PC, Subwoofer au TV uuze upate nauli.

Nikiwa kazini, nikapata taarifa kua anahamisha vituvyote vya ndani. Nikawahi kurudi, ila tukasuruhishwa na wazazi. Yakaisha.

Akaniomba nauli, nikampa elfu arobaini akakataa kwa kusema haitoshi ingawaje nauli kwenda kwao ni shilingi elfu kumi na tano tu. Nikamuuliza kuhusu ile pesa tuliokua tunatunza yeye akasema atanunulia begi la mtoto, akasema ilikua shilingi elfu kumi na tano tu, tena mbele ya wazazi.

MWISHO WA KUREKEBISHA

Ila mwamba unapitia magumu aisee. Hapo hamna mke hapo piga chini bora nyeto.
 
Poa shukuran
 
Kama nimekusoma vizuri huko mwanzoni, wewe mwandishi utakuwa aidha daktari au clinical Officer au... vyovyote, kifupi ni mtoa huduma kwenye nyanja ya afya. Na nyie ndo mnasifika kwa mwandiko mbaya, usioeleweka. Tunawaombeni, mnapokuja kwenye ulimwengu wa social media mjitahidi kujielewa ili mueleweke
Poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom