Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Toka hapo awali nilikuwa nina ndoto na hamasa ya kufikia mafanikio kwa kutatua matatizo ya Jamii inayonizunguka. Nilianza kupenda habari za anga za juu na Sayari KWA ujumla , nilijisomea kila kitu...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa nini umeachwa? Kuachwa ni udhaifu mkubwa sana kwenye mahusiano. Kuachwa kunamaanisha hauko 'fit' kwenye baadhi ya maeneo. Ndio maana zamani, vijana walikuwa wanapelekwa jando / unyago...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Nilikuwa napiga soga kidogo na rafiki yangu aliyewahi kukaa Nchi za scandinavia na akanidondoshea hili: Ukiwa maeneo kama Finland, Sweden etc wanawake wanapatikana free, akimaanisha kwamba...
8 Reactions
136 Replies
29K Views
Utafiti mdogo ndoa nyingi au mahusiano mengi ya watu maskini kiukweli ni bora liende. Kuishi vizuri na mwenzio ni ufunguo wa mafanikio katika uhusiano/ndoa yenu. Ambao hamjaingia katika ndoa ni...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za...
23 Reactions
101 Replies
11K Views
Mimi ni MTU mzima ambaye pia ninajiheshimu na natafuta mwanamke mkweli na muaminifu kwa ajili ya mahusiano ya kweli. Umri wangu miaka 52 aliye tayari anitafute kwa namba 0784355760
3 Reactions
6 Replies
796 Views
Kudumu kwa mahusiano kunategemeana na juhudi za pande zote mbili (mwanamke na mwanaume); na iwapo upande mmoja utalemaa, kuna uwezekano mkubwa kwa mahusiano kuvunjika. Baadhi ya juhudi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mapenzi yamenitoa machozi, Nimempenda huyu dada kiasi kwamba nikijishahuri kumuacha roho inaniuma, inauma sana. Nikimuona na wanaume wengine naumia sana. Hasa pale atakapokua akiongea na wengine...
23 Reactions
94 Replies
6K Views
WanaJF za siku nyingi. Kwa vijana nipeni shikamoo zangu. Nimewazidi wengi mno umri humu, niruhusuni niende kwenye mada sasa. Hili suala ninaweza kulitatua ila nahisi approach haitokuwa nzuri...
10 Reactions
90 Replies
6K Views
Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam Sasa yamekuwa kweli... Mtakufa navyo vijiba vya roho.
12 Reactions
113 Replies
13K Views
  • Closed
Habari zenu Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu...
9 Reactions
138 Replies
9K Views
Hello Jf Natumaini mtasoma na kunipa ushauri kulingana na uzoefu wenu au maarifa kadili ya busara zenu. Nimeoa ninaishi na mke na nina mtoto mmoja!! Kifupi mimi ni mtu busy sana sishindi sana...
30 Reactions
158 Replies
10K Views
Wakuu naona mpooo Nimerudi baada ya kimya kingi Kiufupi baadhi yenu wanawake wa kitanzania mnatukatisha tamaa waoaji Juzi kati nimepita mtaa fulani hivi nipo na gari yangu yenye bei kubwa kupita...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Naumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume...
39 Reactions
101 Replies
10K Views
Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal...
6 Reactions
132 Replies
6K Views
Habari za mda huu wana JF, Bila kupoteza mda twende moja kwa moja kwenye mada. Fikiri kwamba wew mwanaume umeoa na unajijua kuwa huna uwezo wa kuzalisha na hujamwambia siri hiyo mkeo.. Ndoa...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni mgeni nipo Musoma mjini nilifika tangu jana usiku.Nikawa nimechukua chumba Lodge moja iitwayo embassy maarufu kwa shangazi iliyo karibu na stand ya zamani iitwayo stand ya Makoko. Wakati...
14 Reactions
83 Replies
13K Views
Ndio, sisi wanaume wa kisasa hakuna sehemu yoyote kwa Sasa tunapofundishwa namna ya kuwakuna Hawa viumbe ambao ni mbavu zetu lakini tuna majukwaa kama haya ya kuelezana kidogo, sina maana ya...
29 Reactions
44 Replies
12K Views
Ni miaka 6 sasa sijawai fanya ngono peku (unprotected sex) na miezi 5 sijafanya ngono hadi wiki 3 zilozopita. Demu niliyemangana naye nilipotezana nae miaka mingi nilipoonana naye nilimtaka tena...
10 Reactions
71 Replies
5K Views
Wakuu nitakua nakosea? Ni binti niliekutana nae zamani kidogo tokea nasoma form four nilimuacha madarasa mawili nyuma, tulikua marafiki tu ni mtu ambae tumedumu nae kama rafiki na mpenzi kwa...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom