Wana JF naomba ushauri au msaada
Kuna msichana nmekuwa na hangout nae kwa mdaa sasa,we have made love tulikuwa kama friends with benefits kwa mdaa sasa ivi punde nika decide kumu approach...
Habari ya asubuhi bandugu!!!!
Jamani x wangu alikuwa na ujauzito wa miezi 2 kwenda kuangalia usalama wa mimba daktari kupima akagundua mimba iko nje ya mji wa mimba.
Daktari akamwambia style...
HABARI NAITWA MUU NAISHI KIGAMBONI NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA AWE MWENYE MWONEKANO MZURI NA UMBOZURI LAKUNIVUTIA AWE HAJAZAA KUANZIA UMRI WA MIAKA 18 MBAKA 32 MWEUSI AMA MWEUPE NISAWA AWE MUISLAM...
Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na...
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu...
Hehee [manake apo kwanza ncheke]
Nimekutana na mwanamke niliepotezana nae tangu mwaka 2007 kwa kuwa kila mtu alienda kusoma sehemu tofauti.
Nimekutana nae yuko vizuri kiutaftaji na anajiweza...
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.
Halafu kingine ninaomba...
Wiki iliyopita nilibananishwa na mama watoto, naye anataka nimpeleke 'club' ambapo huwa nashinda ninapokuwa mbali naye.
Mi nikamkubalia, nikawa sina shida; na kumuahidi kumpeleka maeneo hayo...
Wakaka kila siku huwa mnakuja na mada hapa mkifundishana madawa mara maufundi ya kuwapa wanawake wenu kitandani mda mrefu ili muwafikishe eti.
Wengine nimekuwa nikiwaona hapa wanalalamika wake...
Wakuu poleni na majukumu
Mdogo wangu wa kiume alileta taarifa za kuoa kwa mzee wetu nyumbani Marangu Mamba Lekura, mkoa wa Kilimanjaro, Binti aliyehitaji kumuoa ni Mwenyeji wa Mkoa wa Bukoba huko...
Ulianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka...
Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania...
1.Huwa ni kweli kuwa wanamitanange mizito na minene? Maana wakiwa wanauza dawa zao huwa wanasema zinaongeza ukubwa wa dushe.
2.Kimapenzi wanarizisha?
3. Hawaumizi mpaka inakuwa kero?
Salaam wakuu,
Nmefanya Uchunguzi binafsi kwa miaka mitatu. Nlikua nataka kujua sababu za Wanawake kujibadilisha ngozi ili wawe weupe.
Nlichogundua
1. Miezi sita ya kwanza wanakuwa na furaha...
Najua nnalotaka kulizungumza lawezekana lisiwe na maana yoyote kwa baadhi yenu ila acha tu niseme.
Kwanza niwapongeze wanaume wenzangu woote hasa waliooa. Katika jambo ambalo hamjatuangusha...
Habari za weekend, natumaini mnaendelea vizuri.
Niende kwenye mada moja kwa moja, miaka ya nyuma kidogo nilikua na binti mmoja kwenye mahusiano ikafikia mahali akawa ananieleza kuwa katongozwa...
Walikutana Ben na Rose shuleni wakiwa wote wamefaulu darasa la saba. Licha ya uwanafunzi Ben alikua na kipaji cha kuimba na kupiga gitaa. Weekends alitumbuiza kwenye bar na pia alialikwa kwenye...
Habari ndugu zangu,
Kuna binti nimekuwa nae kwenye mahusiano takribani miezi kama mitatu hivi...muda wote wa mahusiano yetu alikuwa anakuja Nyumbani kwangu...anaweza akalala kwa siku mbili,,siku...
For without are dogs, and sorcerers, and whoremongers, and murders and idiolaters and whosoever loveth and maketh a lie.
Ladies just a little more virginity if you don't mind; just a little...