Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

kibenten

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
499
507
Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.

Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.

Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu.

Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!

Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.

Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.

ASANTENI.
 
Mbona siku hizi hkn wapekee yako mkuu, kukuomba msamaha na kulia liaa c mwisho wake walikuwa site na jamaa ataliwa sanaa na ukigundua tena ataliaa tena kukuomba msamaha , ss ww hapo akili kumkichwaa
Akili yangu kumkichwa imefikia kikomo kufikiri hilo swala ndo mana nikaja kuomba ushauri humu
 
Hilo ni jambo jepesi sana tumia falsafa za Putin, kusamehe ni kazi ya Muumba wake...wewe jukumu lako ni kumfikisha kwa Muumba wake ili asemehewe

IMG_20220228_101318.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom