Kuhusu Wasichana wa Arusha

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,236
Kuna vitu vingi sielewi kuhusu mademu wa Arusha.

Hawa mademu wa Arusha wanashida gani?

Nipo nakunywa kaunta hapa Kuna demu ndio yupo kaunta. Nimemchombeza kidogo kajimwambafy kinoma na kaniwekea clip fulani ya kibabe sana hata sielewi anataka kunionesha nini aisee.

Huku kujiamini kunatokana na nini hasa?

Msubaaaa?

Naomba wenye uzoefu na Arusha na mademu wa Arusha wanisaidie ikiwemo kunipa tahadhari kuhusu DOs and DONTs.

AHSANTENI KWA BUSARA.
 
Komaa nae ukifanikiwa kumpata wanakuwa-ga watamu kinoma hasa ukute kashakula weed aaah! utaukubali muziki wake
Poa kaka ngoja niendelee labda ananibeeb na kutaka kujua km nipo serious kiasi gani...
"Mvumilivu hula mbivu Ila mvundika mbivu hula mbivu"
 
Vijana sijui tunakwama wapi sikuhizi imefikia hatua hadi kupiga madem Sound tuombe Verse JF. Ukishampata pia namna ya Kujigjig pia utaomba Style JF, Lodge JF na mwishowe ukiishiwa nguvu utaomba Vumbi la Mkongo hapa hapa JF yaaani ndio maaana wazeee akina MZEE Mengi RIP wanakula mabinti wabichi kama KLYN na nyinyi mnaishia kulalamika kila kitu.

Mwanaume komaaaa mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom