Shuntuma, limbwata hatari katika mapenzi

Shuntuma, limbwata hatari katika mapenzi

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,237
Reaction score
6,604
Kwenye mchezo wa soka Kuna Simba na Yanga, kwenye mziki kuna Diamond na kiba kwenye mchezo wa ngumi kuna Mwakinyo na Twaha Kiduku kwenye siasa kuna CCM na Chadema, kwenye mapenzi kuna mwanamke na libwatwa.

Mwanamke na libwata huwezi watenganisha kabsa linapokuja suala la mapenzi, japo sio wanawake wote hutumia libwata katika mapenzi ila Kuna asilimia kubwa sana ya wanawake hutumia malibwata katika mapenzi.

Kinachokera zaidi mwanamke akitaka kutumia libwata hajali anatumia Kwa nani uwe mume wa mtu, uwe na familia uwe mume wake, uwe mchepuko wake, iwe utakuwa chizi,iwe utatelekeza familia yey hajali ni mwendo wa kulipua tu. Wengi wa wanawake wanaotumia malibwata wanamini Kwa kutumia malibwata huwatuliza wanaume,au tutawatekelezea kile wao wanachaotaka, either akiomba fedhaa umpe kwa wakati, akisema kitu asikilizwe, au wanaamini akikupa libwata ukiwa barabarani usipende wanawake wengine umpende yeye tu, au wanawake wezake wasikuibe au wivu tu kutaka kuiba bwana wa mwezake kisa labda anavipesa au anajua kuhudumia wakati yeye bwana ake choka mbaya. Xaxa anaiba ili akukoshe tu.

Kuna wale viumbe wabishi hakuna dawa inayofanya kazi, kwenye mapenzi, mapenzi ya dawa hayanogi, wanawake wanaotumia libwata hawajimini, ni wajinga. Ujinga wao, kutojiamini kwako, hakufanyi libwata lisafanye kazi au ndio watu wasitumie libwatwa tena angalizo wanaume wengi inawezekana tunapigwa malibwata pasipo sisi kujua au tupo kwenye mtego wakunasa malibwatwa.

Wanaume tunaopenda kuonja, onja kila kituo
Wanaume tunaopenda kumiliki wanawake wengi
Wanaume tulio kwenye ndoa na tumeendekeza michepuko, Wanaume tunaopenda miliki mwanamke zaidi ya moja

Wanaume wenye fedha ,tunajiodai ni mabigwa wa kuhudumia tunalipa Kodi ya mwaka mzma,tunanunulia gari
Tunajengea nyumba michepuko .

Wanaume tunaozalisha wanawake na kuwatelekeza tunalala mbele .

Tupo kwenye hatari kubwa sana ya kupigwa malibwata au tayari tushapigwa malibwata tunatapatapata tu kama mabata mzinga.

Leo hebu nizungumzie moja kati ya libwata lenye nguvu zaidi kwenye mapenzi libwata la SHUNTUMA. Kuna malibwata mengi sana ila SHUNTUMA ni moja ya malibwata ambayo halijalibiwi kwa sababu ya nguvu iliyonayo katika masuala ya mapenzi moja. Kati ya nguvu iliyopo kwenye libwatwa la SHUNTUMA ni kuwa mtu anauwezo wa kuwalipua hata wanaume au wapenzi watano kwa wakati mmoja na wakalipuka wote manaa pia kuna wanaume mafundi wa haya makitu.

Pili SHUNTUMA ni libwatwa ambalo linauwezo wa kumrudisha mpenzi ambaye uliachanaye hata miaka miwili iliyopo hapa xaxa kama ulioa au uliolewa bebi wako akitaka kukurudisha hufurukuti.

Tatu hii libwatwa hili mtu akipigwa nalo kuna uwezekano mkubwa kama alikua anafamilia akatelekeza familia yake kabsa hasa Kwa watu waliopo kwenye ndoa

Pia Ni aina ya libwatwa ambalo mtu anakulipulia leo kesho linaanza kutoa majibu ya kile ambacho mtu amkekitaka

Pia shuntuma nia moja katika ya aina ya malibwata ambayo wanawake wanaotaka ndoa Kwa nguvu hutumia, kuwalipua wale wanaopenda kutoa ahadi fake za ndoa ili wapate ndoa.

Nukuu kutoka kwenye maneno ya nyuzi ya LIKUDI tusilusu wanawake watawale nguvu za kiroho.
 
Kwaio mkuu na wewe umemnunulia gari na kumjengea mchepuko? Kweli JF kila mtu tajiri.
All in all ukiwa na mchepuko hakikisha unafuga mbwa nyumbani kwake au paka. Kila chakuka utakachopewa unahakikisha na mbwa kala. Akikupiga shuntama, atafurahi na roho yake. Mbwa anamfuata mpka msalani
 
Shuntama sio shuntuma, asili yake uhayani huko,, ila sioni haja ya mwanamke kujiingiza huko maana mwisho huwa Ni mbaya na aibu Sana,, ukishindwa kummudu mwanaume kwa uanamke wa kuzaliwa nao muachie kwa walimwengu,
Hili nalo neno mwaya.
 
Back
Top Bottom