Ananikasirikia lakini hakati mawasiliano

Ananikasirikia lakini hakati mawasiliano

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
972
Blue monday wakuu! !!

☆hivi inakuwaje binti anakukasirikia halafu bado anataka kuwasiliana na wewe!?

♧kuna workmate wangu anapenda sana kunikasirikia nikifanya jambo tofauti na anavopendelea yeye.

♧sina mahusiano nae na wala siwazi ila anavovimbaga ukizingatia ye yupo juu kidogo kihadhi basi anaweza kunitusi kwa njia ya simu.

♡lakini mara nyingi nimekuwa fanisi katika utendaji wangu kuliko kwa mawazo yake.

♤mwanzo nilijua labda ana wivu na ufanyaji wangu wa kazi. Lakini nikajiuliza mbona hakati mawasiliano na nisipopatikana kwenye simu nakuta sms sio chini ya 10 ,akiuliza nipo wapi mbona kimya!??

♧Nilimuuliza jana kwa nini ananikasirikiaga seriously?!?
-"akasema kwa nini huchukuagi ushauri wangu?"
-"Unajionaga unajua sanaa, kwanza achana na mimi".

Nikamwambia haunisaidii kitu... (amekasirika jana mpaka kuna support staff akaniambia "mwenzio analia")

~cha ajabu leo kanitafta sija respond ametuma sms nimekausha.

Simuelewi mtu wa aina gani huyu!?!?

"ANANIKASIRIKIA LAKINI HAKATI MAWASILIANO"
 
Back
Top Bottom