Maisha ya mahusiano ya Vladimir Putin

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
150
Love starts with a hug, grows with a kiss, and ends with a tear.

Vladimir Vladimirovich Putin alifunga pingu za maisha na mkewe Lyudmila Aleksandrovna Ocheretnaya mwaka 1983 akiwa na umri wa miaka 25 na kubahatika kupata watoto wawili, Katerina Vladimirovna Tikhonova aliyezaliwa mwaka August 31, 1986 na mdogo wake Mariya Putina, born 28 April 1985.

Mwanamke anapofunga harusi na kuolewa huwa na furaha isiyo na kifani ,huishi maisha ya upendo na furaha na mume wake pamoja na watoto wake,Alina Maratovna Kabaeva binti mwenye umri wa miaka 34 ndiye aliyevunja ndoa ya Putin.

Lyudmila Aleksandrovna Ocheretnaya baada ya kujua mtu aliyevunja ndoa yake alikubali matokeo sababu, vigezo alivyokuwa navyo ,Alina Maratovna Kabaeva yeye hana na hawezi kuwa navyo.

Vladimir Vladimirovich Putin ni mtu wa mazoezi ya Judo na ndio maana amezidiwa penzi na mrembo Alina Maratovna Kabaeva ambaye anajua kumpa penzi zito Putini kiasi ambacho kimemlazimu kumpa talaka mkewe ili aendelee kufaidi penzi jipya na la kisasa ambalo mke wake hawezi mpatia katika umri wake.

Alina Maratovna Kabaeva kama anaweza jiweka style hizi pichani mbele ya hadhala ,najaribu kufikilia chumbani inakuwaje ? Talaka aliyopoewa mkewe Putini amepewa na kuipokea bila kiyongo sababu amejua ameachwa sababu ya style na swagger za hali ya juu.

Penzi halina mwenyewe Putin ametekwa na penzi na ametulia kakitokea kabinti kengine kwa style hizo Ngolo Kante ataanza kutembele Land Rover Range Rover Vera.# HeartBroke,
a24df9f1d54af71aeee66fea63e0ce69.jpg
6b072967fdde66e9a1daaadcefc6ec1f.jpg
ecb63be3f6e7b5edf06b2da25552ebf9.jpg
 

witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
20,818
2,000
Hapa lazima tuwe wakweli....


Putin kadata na Papuchi ya kisichana that's all, na mke wake baada ya kugundua hilo aliwasha moto kwelikweli, sema si unajua ile mwanaume kakuchoka hata ufanyeje..

Putin ni womaniser kama wanaume wengine tuu...mfyuuuuuuu..
 

emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
564
1,000
Kwa kweli mke wa Putin alikuwa hana namna , ukiwa mtulivu mengi utajifunza
 

Nleterewa Nganengo

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
4,951
2,000
Hapa lazima tuwe wakweli....


Putin kadata na Papuchi ya kisichana that's all, na mke wake baada ya kugundua hilo aliwasha moto kwelikweli, sema si unajua ile mwanaume kakuchoka hata ufanyeje..

Putin ni womaniser kama wanaume wengine tuu...mfyuuuuuuu..
Bibie hiyo mistari miwili ya mwisho kama umeandika kwa hasira sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom