Kuna Jamaa anatoka Na Ex wangu
Sasa Jamaa huyo ana Tumia pesa nyingi kumgharamikia mtoto apendeze Kweli
Na Kweli mtoto kawaka kinoma
Ila kibaya pamoja Na hayo yote ambayo Jamaa ana mfanyia demu
Leo nimeshangaa kumuona huyo ex wangu akitoka guest Na Jamaa filani hivi
Na jiuliza hapa kama ni mwage mboga maana demu tayari kashamwaga ugali
Maana nataka ni mtafute Jamaa ni mpe Akili maana Kuna vijana wa hovyo saana APA Tanzania utamgharamikiaje demu ambaye bado anaishi kwao?