Kichwa cha habari chahusika vizuri tu.
Kuna siku niliamua kutafuta demu fb. nikapata pisi moja kaleeeee. si nikaitongoza ikakubali. akanipa no zake za whatsapp tukatoka messenger tuka ruka hadi...
Hali gani? Wanawake wengi wa kitanzania wana unafiki na ubinafsi wa hali ya juu ndani yao. Hili nimelithibitisha yapata miaka 3 sasa. Wengi wakiumwa wao wanataka kuhudumiwa na kupewa attention na...
Habari za wakati huu ndugu zangu.! Naamini kila mmoja yu salama akiendelea na harakati za maisha, kwa wale wenye changamoto kadha wa kadha za kimaisha basi Mungu akakutetee.
Leo nimependa...
Nawatakia sikukuu njema Jf
Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke.
Kwa...
Membes wa JF hi!
Nipo Dar Ubungo external. Kwa muda wote nilioishi hapa nimesikia
Sifa nyingi hususani za hawa dada poa wanaojiuza, mimi siko interested
Sana na hawa watu, hasa wale maarufu wa...
Habarini za jioni ndugu zangu!
Ndani ya hii january ulitokea mkanganyiko kati yangu na mpenzi wangu huyu binti ni mwenyeji wa kigoma (mzawa) na anaishi huko na nilimpatia hukohuko nasema wazi...
Wakuu kwema?
Aise mwaka huu kwenye mwezi wa tatu kuna dada nilikua nae kwenye mahusiano nae tokea mwaka jana mwezi wa 9 sasa kila nilikua namuomba sex alikua anaonekana kuogopa sana Age yake 24...
Habari ya sikukuu ndugu zangu?
Nimekuja hapa nahitaji mwenza,
mm ni mwanaume umri wangu 36yrs
Dini yangu mkristo
Naishi Mbalizi Mbeya
Kazi nimejiajiri mwenyewe
Mke nimtakae umri 25yrs to 30yrs...
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu...
Bila kupoteza muda niende kwenye mada!
Mwaka 2016/2017 nilikutana na binti akiwa anafanya biashara yake Fulani maeneo fulani ndani ya jiji...
Wakati huo nilikuwa napigika kuandika dissertation...
Hbr Jf,
Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo:
*Awe muislamu
Asiwe mlevi
Umri usizidi miaka 23 mpaka 26
Elimu yeyote aliyonayo
Asiwe na mtoto
Sifa zangu:
*Muislamu
Nina umri...
Habari wanajamii!
Mimi ni mzee wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuzaa naye awe na miaka 30 hadi 45, na awe ameshajaribu kutafuta ukashindwa pengine umeenda hata Ulaya ili ukapandikize mimba lkn...
Nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe.
Mimi Nina miaka 32
Mjasiriamali
Mkazi wa Dar es salaam.
Mkristo
Mnene kiasi,maji ya kunde...
Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake.
Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu"
Tena wengi...
Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja...
Kweli hakuna anayefurahia kuachwa. Mapenzi yanauma, wakati mwingine hasira zinaweza kutuongoza katika kufanya maamuzi lakini suala la msingi linalopaswa kuzingatia ni kujidhibiti. Lazima tujifunze...
James na Jamila walianza mapenzi wakiwa shule ya upili. Walipofika kidato cha tatu Jamila alipata ujauzito, ilibidi aache shule. James alendelea kidato cha tano na sita.
Jamila alijifungua...
Habari za saa hizi watumiaji wa mtandao wa jamii forums.
Leo nimekuja kuwaelimisha, kuwapa elimu ya bure juu ya suala ambalo limekuwa likipotoshwa sana katika jamii yetu na reflection ya...
Wadada smart tunawapenda sana, na tunathibisha mna utamu wa kipekee; popote pale pongezi ziwafikie.
Changamoto kubwa mliyonayo; mnatutesa sana sisi wanaume; hela haikai, muda wote tunapokuwa na...