Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanini ni rahisi hili neno kuambiana mwanamke na mwanaume na pia mwanamke kwa mwanamke ila sasa ikija kwa mwanaume kwa mwanaume inakuwa vigumu kibongobongo? Je, mwanaume unaweza kumwambia...
10 Reactions
97 Replies
10K Views
Helloo.jamani natumaini mnaendelea vizuri wote,sasa kilichonileta ni kutaka kujua kua: katika familia mara nyingi wanaume humchagua mtoto mmoja wakiume miongoni mwa watoto wengine. Huyu kazi yake...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nani kama mama ni msemo maarufu sana tangu zama za kale hadi sasa!,hakuna chakubalisha katika msemo huu!,pia mara kadhaa ama kila siku watu wamekuwa wakiwasifia mama zao kuwa ni bora sana na pia...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja nchini Uingereza anayefahamika kwa jina la Tony Garnet, ameachana na mkewe Lorna Garnett aliyedumu naye kwa miaka 10 na kufanikiwa kupata watoto wawili, na kuanza mahusiano mapya na...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao. Wadada wengi hujikuta wanaliwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao ni wahanga wa...
21 Reactions
205 Replies
21K Views
Mimi ni mkatoliki, nina miezi mitatu tangu nifahamiane na rafiki yangu wa kike mlokole ambaye tulikutana kwenye course ya muda mfupi inayohusiana na fani yetu, ila tangu siku ya kwanza...
0 Reactions
93 Replies
11K Views
Habari wana JF. Twende moja kwa moja kwenye mada na kuomba ushauri juu ya hili. Kuna hali inanitokea si ya kawaida nikiw mwnye hasira sna ni mwenye kutetemeka na kuhisi bard haswa. Nilikuja...
0 Reactions
7 Replies
879 Views
Ni ndugu yangu kabisa mdogo wake mama kapata kazi sasa yuko kwenye training akaniomba kukaa na mm kwa muda.. Jana kamleta demu wake na wamefanya uzinzi kitandani kwangu. Nilimkataza Nimemwambia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili jambo nimekua nalisikia sikia sana kwa watu. Kwamba kuna baadhi ya Wanawake ukiwa nao kwenye mahusiano au kufunga nae ndo wanakuwa kama mkosi kwako usifanikishe masuala yako Kila...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Wakuu natafuta mke mwema wa kuoa nisogeze naye maisha sifa zangu ni kijana wa 1.miaka 30 2.mfanyabiashara mdogo 3.elimu , degree 4. mweusi mrefu 5. Mkristo Mke ninaye mtafuta awe 1.mkristo. 2...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka...
23 Reactions
92 Replies
6K Views
Linapokuja suala la mapenzi tubalance waungwana Kuna vipindi vya ukomavu na kuwaelewa wanawake nimevipitia labda naweza kushare hapa 2011 Niko zangu chuoni nasubiria paper ya final jumamosi kama...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana..... Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari...
9 Reactions
102 Replies
8K Views
Imekua ni kawaida kwa Dada zetu kutupanga kimadaraja. Kwa hivyo wameamua kutugawa kwa tabaka la pesa. Na kujiaminisha na kujisifia huo ujinga. Dada zangu semeni tu ukweli kuwa nyie ni Malaya...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Habari! Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda...
61 Reactions
121 Replies
12K Views
Ipo hivi kumekuwa na tabaka la wanaume wanao jifanya wao ndio wanamachungu Sana na wanawake. Wakati huo kumekua na wimbi kubwa Sana la wanaume wanao umia na kuteseka kisa watu Kama Hawa . Yaani...
17 Reactions
125 Replies
7K Views
Heheheee hii Dunia tushinde game za home zote ni hatari nina demu anampenzi na Mimi nina mpenzi. Ukimuuliza umenikubalije hapati jibu ila tunabutuana vizuri japo kanaubahili wa shoo. Alhamdulillah...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, kumbe urafiki kati ya mwanaume na mwanamke unawezekana tena bila kupigana kizinga au kutongozana. Nina rafiki yangu wa kike ambae nimejuana nae takribani sasa mwaka ni mtu wa mkoa flani...
7 Reactions
38 Replies
6K Views
Wasalaam, Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3 Lakini kudeka...
26 Reactions
116 Replies
8K Views
Back
Top Bottom