Natafuta mke wa kuoa tuishi

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
1,166
1,532
Wakuu natafuta mke mwema wa kuoa nisogeze naye maisha sifa zangu ni kijana wa
1.miaka 30
2.mfanyabiashara mdogo
3.elimu , degree
4. mweusi mrefu
5. Mkristo
Mke ninaye mtafuta awe
1.mkristo.
2. Umri usizidi 30
3. Elimu kuanzia darasa la saba
4. Mkristo
Kama kuna mwenye uhutaji ni pm uwe na mtoto usiwe na mto sawa nachoka upweke nataka mwenza
 
Hapo mwisho 😂😂😂😂😂
 
Haha..hapo mwisho mi hoi🤣🤣🤣🤣...kila la kheri
 
Wakuu natafuta mke mwema wa kuoa nisogeze naye maisha sifa zangu ni kijana wa
1.miaka 30
2.mfanyabiashara mdogo
3.elimu , degree
4. mweusi mrefu
5. Mkristo
Mke ninaye mtafuta awe
1.mkristo.
2. Umri usizidi 30
3. Elimu kuanzia darasa la saba
4. Mkristo
Kama kuna mwenye uhutaji ni pm uwe na mtoto usiwe na mto sawa nachoka upweke nataka mwenza
Sema unatafuta wa kukupunguzia upweke sio mke
 
Nina mtoto mmoja wa kiume wa miaka 3 umri wangu 27 dini mroman kathoric,je naweza kukufaa?
Nenda pm faster. Mbona ameruhusu! Hata mwenye mtoto anamkubali! Msisahau kunialika siku ya harusi yenu iwapo tu mtaafikiana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom