Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sex ni kwa Wazungu, Weusi Tunalazimishana tu Chunguza sana hii. Ukiomba game kwa mpenzi wako mdada au mkeo mweusi ndio mwanzo wa sarakasi na visingizio visivo na kichwa wala miguu. Unakuta (1)...
10 Reactions
58 Replies
6K Views
Unapokwenda kukutana na pisi kali yenye 'standard' ya kimataifa kwa mara ya kwanza; fanya yafuatayo:- Hakikisha ngozi ya mwili imetakata, kutokana na kula vizuri Hakikisha hauna kitambi au kisiwe...
16 Reactions
211 Replies
14K Views
Wakati flani, miaka kadhaa nyuma nilikutana na binti mrembo, mdogo na mzuri haswa, alikua anatokea kabila flani la watu wa kaskazini wale ambao wapo kama wazungu hivi. Alikua ana utulivu wa akili...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Nchini Marekani imegundua mashine ya kupima idadi ya wanawake au wanaume uliowahi kutembea nao, au unaotembea nao kwa wakati huu. Akizungumza Dr andrew amesema, ni hatua kubwa kufikia kutengeneza...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau wangu leo naongea nawaheshimiwa fulani wanaojidai wamezaliwa na wamama wakwe na wake zao. Iwafikie woteee ambao hawajawatumia mama zao pesa za matumizi tokea wawe nafamilia iwafikie wakaka...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja maruufu nampenda saana na nipo tayari kumuoa pesa ninayo. Ila sijui ni njia zipi nitumie kumpata huyu mrembo Nikiweka pesa mbele mda so mrefu nitafilisika. Nikitongoza kwa njia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo..... Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili...
12 Reactions
72 Replies
7K Views
Habari wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kumekuwa na katabia asa kwa vijana wa kiume kushinda jim na kutafuta six paki kwa ajili ya kuwavutia kina mama, katabia aka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuitwa mwanaume sio Jambo dogo , Mwenyezi Mungu kukupa sauti nzito, ngozi ngumu, misuli migumu, manywele Hadi usoni, moyo mgumu ili uweze kuchakata maamuzi magumu. Uwezo wa kuzalisha mamilioni ya...
1 Reactions
12 Replies
715 Views
Jamani mimi hata sielewi! Ni kwamba hili ni tatizo au? na kama ni tatizo, nitalitatua vipi mimi nikipapaswa kidogo tu au nikiguswa hapa na pale na mwanaume, tayari nguvu zinaniishia, nakuwa...
20 Reactions
153 Replies
22K Views
Kwema ndugu zangu? Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank. Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank...
13 Reactions
159 Replies
19K Views
Wakuu hapa niko hospital Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni...
15 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla. Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu mwili wako na nafsi yako inafurahia Zaid muda gani ukiwa macho mchana unafanya maisha na mishemishe zako au Bora usiku tunapoenda kulala ndio unahisi viungo vinajinyoosha vizuri.binafsi Mimi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jinsia: Kike Umri: 33 Dini: Mkristu/ mkatoliki Elimu:Degree level Kazi: Muajiriwa+mjasiliamali Sifa za mwanaume anayehitajika Awe anajitambua(ninj afanye kwa wakati gani, kwa nani, wapo na kwa...
8 Reactions
79 Replies
4K Views
Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu habari za mapumziko. Bado sijampata sugar mumy tukomae pamoja. Hawa maslay queen wasitaki kabisa, usumbufu umekuwa mwingi
1 Reactions
2 Replies
669 Views
Nakumbuka mimi nilipokuwa na umri 6-13 nilikuwa mkorofi natukana sana watu sichagui mkubwa au mdogo, nilikuwa na matusi hatari na kupenda kurushia watu mawe, pale mtaani wakawa wanamwita mama...
13 Reactions
65 Replies
7K Views
Haipiti muda bila kukutext limemisi uchakataji, ata ukitoka kuichakata ikipita masaa kadhaa lazima likutext limemisi tena, Muda wote papuchi iko hot, haijawahi kuishiwa Oil kamwe kaah, Ata kama...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom