Hii hali kunitokea nikiwa na hasira au kuumizwa. Naomba ushauri juu ya hili

Kraftwerk

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
227
321
Habari wana JF.

Twende moja kwa moja kwenye mada na kuomba ushauri juu ya hili. Kuna hali inanitokea si ya kawaida nikiw mwnye hasira sna ni mwenye kutetemeka na kuhisi bard haswa.

Nilikuja kugundua hii hali nikiwa n miaka 23 baada ya kuachwa na mwnamke niliyempnd na kumthamn kwa kila hali na kuwa na mwnaume mwengine. Hii hali inanitokea hasa usiku nikiwa nimetulia kuwaza kuhs yeye.

But rn hata biashara zang zikiwa haziend vizur au kukumbwa na maden hii hali hujurudia hasa kipnd cha usku nikitaka kulala.

Kama kuna mtu aliwah kupitia hii hali au anaewez kujua tatz ni nini? NAOMBA USHAUR JUU YA HILI.
 
Ninachokiona ni kwamba hongera sana kwasababu teyari unajua kinachokufanya utetemeke... Ila ungekuwa hukifahamu hapo ndipo mtihani ungekuwa ni mkubwa....

Jitahidi kujiepusha na mazingira yeyote yanayoweza kupredict hiyo hali, jifunze na uifunze nafsi yako kukubali changamoto
 
mkuu mimi nina hali kama yako tena zaidi.
mtu akiniita jina langu huwa hofu inaingi kinachofata ni jasho.

kama mtu akiniuliza swali kuhusu maisha yangu.

mtu akinijibu vibaya hasa mabinti.

nina ugonjwa wa kupanic, kutetemeka,kutokwa jasho aise achaa kabisa.

yani hali ikizidi ni k vant ndogo hapo basi. ila kesho tatizo linakuwepo sema kiasi. na age hii 30+ ni noma
 
Habari wana JF.

Twende moja kwa moja kwenye mada na kuomba ushauri juu ya hili. Kuna hali inanitokea si ya kawaida nikiw mwnye hasira sna ni mwenye kutetemeka na kuhisi bard haswa.

Nilikuja kugundua hii hali nikiwa n miaka 23 baada ya kuachwa na mwnamke niliyempnd na kumthamn kwa kila hali na kuwa na mwnaume mwengine. Hii hali inanitokea hasa usiku nikiwa nimetulia kuwaza kuhs yeye.

But rn hata biashara zang zikiwa haziend vizur au kukumbwa na maden hii hali hujurudia hasa kipnd cha usku nikitaka kulala.

Kama kuna mtu aliwah kupitia hii hali au anaewez kujua tatz ni nini? NAOMBA USHAUR JUU YA HILI.
uyo alikupa dawa Ila atarud
 
Back
Top Bottom