Salamu kwa wanaume wanao jifanya kuwatetea wanawake

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,465
8,277
Ipo hivi kumekuwa na tabaka la wanaume wanao jifanya wao ndio wanamachungu Sana na wanawake.

Wakati huo kumekua na wimbi kubwa Sana la wanaume wanao umia na kuteseka kisa watu Kama Hawa .

Yaani imefika wakati wanaume kuishi kwenye mateso yanayo sababishwa na wanawake ni kawaida, eti wewe ndio kidume...! Yote hayo ni kwa sabubu ya wanaume wanao fichiwa madhaifu yao na hao wanawake, kwa sabubu wao wanafanyiwa hisani Basi wameona njia pekee ya kurudisha fadhila ni kuwa wasemaji wa wanawake.

Ni kwamba imebainika kuwa wanaume wenye Kariba hiyo ya kuwatetea wanawake ni kwamba wanaupungufu mkubwa wa homoni zinazo mfanya mtu kuwa mwanaume.

So kutokana na huo upungufu wao wa kushindwa kuwaridhisha wanawake nao wameamua kuwa kundi moja na wanawake ili wasitiriane vizuri.

Kwa mfano utakuta mwanaume anamsimanga mwanaume mwenzie kwa kisa kachepuka . Hivi tuongee tu ukweli Kuna mwanaume hapa.....? Kweli mwanaume rijali unae weza tomba mtoto wa mtu Hadi akaomba mapunziko katikati ya mchezo unapata wapi nguvu ya kumkandamiza mwanaume mwenzio kwa kesi ya uchepukaji.....?

Msimamo wetu wanaume ambao tunaweza dinya mwanamke hadi akaomba mapunziko ni kuwa kuanzia Sasa by any means hatuta yumbishwa na harakati zozote zile za kutufanya tujione hatupo sawa na kuamua kuishi maisha yetu wanawake kwetu sisi ni kachumbari tu ya maisha yetu wawepo wasiwepo sawa tu.

Ila tunajua sisi ni zawadi kwa wanawake, hivyo ni jukumu lao kulilia kuishi na sisi.

NB
Mwanaume tafuta hela kwa ajiri ya maisha yako, na ujipende, kula vizuri,vaa vizuri, miliki vitu vizuri,tembelea sehemu nzuri.
 
My Point mwanaume kumsema mwanaume mwenzio anae chepuka...!!???
Maana katika hali ya kawaida wanawake ni wengi wazuri na wakijua mwanaume ana uwezo basi wengi hushoboka na unajikuta una kamata mmoja mmoja unakuwa una gonga tuu...
Sasa unakuta njemba ana maind...!!?? Shit
 
Tatizo ni upungufu wao ndio wa nguvu za kiume unataka utukost wote
 
Kwa mfano utakuta mwanaume anamsimanga mwanaume mwenzie kwa kisa kachepuka . Hivi tuongee tu ukweli Kuna mwanaume hapa.....? Kweli mwanaume rijali unae weza tomba mtoto wa mtu Hadi akaomba mapunziko katikati ya mchezo unapata wapi nguvu ya kumkandamiza mwanaume mwenzio kwa kesi ya uchepukaji.....?
Hahahaha..
Kwamba kuna mwenzio kabisa kakuangushia kitu kizito!
 
Back
Top Bottom