Urafiki wangu na huyu mwanamke sasa unanilipa

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Sep 17, 2021
316
831
Wakuu, kumbe urafiki kati ya mwanaume na mwanamke unawezekana tena bila kupigana kizinga au kutongozana. Nina rafiki yangu wa kike ambae nimejuana nae takribani sasa mwaka ni mtu wa mkoa flani Babati huko sasa tumekuwa na urafiki wa karibu mno licha ni mwanamke mrembo haswa kama unavyowajua wanawake wa Babati haswa Wairaq huwa ni warembo mno sana japo mwanzoni mwa urafiki wetu nilikuwa nikipitia kipindi kigumu sana kwani kila ninapokutana nae katika harakati zetu za urafiki nilikuwa namtamani sana kimapenzi lakini alikuja kunivunga nguvu baada ya kuniambia ana mtu wake wa future.

Basi ikabidi tamaa za mapenzi niziache na urafiki ukaendelea kama kawaida. Sasa miezi 2 iliyopita aliambia ameachana na mtu wake basi ikabidi niwe nampa ushauri maana hakuwa sawa nikawa namtoa out ila aweze ku-refresh her mind basi baada ya muda akawa amekaa saw.

Sasa uwa tunasaidiana mambo mengi naweza kusema ukiwa na urafiki na mwanamke utakula vitu vyake vingi mno mfano juzi kati nilitingwa mazingira ya kodi nikamkopa hela shs laki moja akainipatia; sasa siku namrudishia hela yake kaikataa kata kata anasema amenisaidia tu.

Sio hivyo, mara nyingi amekuwa akisaidia kuna siku alimpost rafiki ake ni mrembo haswa nikamwambia daah huyu nimpenda niunganishie akanipa namba yake akampanga rafiki ake kuwa ni mimi ni mwanaume wa kipekee kwake ndugu msomaji hadi now namla rafiki ake. Pass ndefu ame-assist yeye.

Sasa ni mrembo haswa imefikia hatua nishamzoea anaweza kuja kwangu akaa hadi usiku then nampeleka kwao na by the way kwao najulikana kama kakaake wazazi wake wananiamini sana wakuu urafiki na mwanamke unavutia sana nikiwa sielewi ghetto akijaga ananisaidia kupika anafanya usafi kwangu majirani hadi wanasema eti namla ila ni rafiki tu.

Sema wadau urafiki na mwanake pisi kali unaitaji ujasiri wa kiwango cha ndege JOHN lasivyo urafiki unakufa njiani

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba huwezi kujitafutia pisi kali bila msaada. Kwa akili za wanawake huyo unayemla anaamini hiko kitu. You are optionless. You are not a man other woman want to fvck.

Kaa chonjo, vitimbi vinaanza soon. Ukifeli hizo shit tests mahusiano yatabadilika kuwa kitega uchumi, hisia za huyo demu zitakufa kabisa kwako, kama anazo at all
 
Wewe mpe mkuu connection mwelezee ni mwanaume wa kipekee sana ale mzigo akizagamua atakushukuru, wanaume lazima kusaidiana kumbuka sisi ndio wachimba kaburi ukifa
Jamaa anaona wivu wakati demu mwenyewe hata hamli😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom