Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mabibi na mabwana! Mie bwana nina shemeji/ wifi yenu ambaye nina kama mwaka mmoja hivi tangu tuanze mahusiano, ninaishi homu kwa dingi (servant quarter! umri wangu ni 25-27 bado nipo nipo!!)...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Kua na mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kama ilivo kwa mwanamke kuolewa au kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri anaejua kutumia pesa. Na ndo mana mwanaume akioa wakat akiwa masikini...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari ndugu wana jf Baada ya kutafakari kwa muda kidogo juu ya solution ya ugomvi na kukosekana kwa maelewano katika mahusiano na ndoa leo nimekuja na mapendekezo kadhaa Kabla ya kuanzisha...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF, Natumaini mko sawa, leo nakuja na mada ya MMU ya kuuliza flan hv,nahisi ni umri kusogea au ulikua ulimbukeni wa ujana kipindi hiko. Ni ule utaratibu ukisafiri, unatamani...
1 Reactions
3 Replies
730 Views
Eti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja. Mgogoro wa kwanza, baba kauza shamba la familia pesa kaenda kuhonga malaya wake. Mgogoro wa pili...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeamka asubuhi nakutana na sms ya kumtumia kiumbe elfu sabini eti ana shida nayo! Sijui anatumia matope badala ya akili! Hiyo hela ya chap kiasi hiki naitoa wapi! Mahusiano yenyewe yana 2 weeks...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Umalaya ndani ya ndoa si kitu cha kujivunia na cha kusema sawa mwache afanye. Naona wadau wengi wanaona ni sawa kwa mtu aliyeamua kwa ridhaa yake mwenye kuoa kua malaya na kufanya dhambi ya...
40 Reactions
167 Replies
9K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto tu kisha jukumu la kumtunza mama na mtoto nitalibeba. Ni kijana mwenye miaka 28, handsome, decent, humble, focused and...
1 Reactions
91 Replies
10K Views
Mimi binafsi ni kijana wa miaka 27 na mwakani ningependa kuoa ili pia kuwa na watoto mapema tatizo ni huyo wakuoa ni changamoto. Baadhi ya vijana wakileo tunapitia mambo mengi yanayotufanya...
10 Reactions
188 Replies
18K Views
Imefikia hatua nimeona ni bora nirudi nyumbani Mwanza, nikae wiki kisha nirudi jijini Dar, jiji la biashara [emoji23][emoji23] Katika pitapita zangu siku chache zilizopita, nilikutana na pic...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Ama kweli maisha yanaenda kasi sana! Hivi mnakumbuka kuna kipindi walikuwepo wanawake waliokuwa wanagegedwa mpaka wanashindwa kutembea hadi wiki nzima? wako wapi hao wanawake? Hicho kizazi...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana MMU, Moja kwa moja niende kwenye mada, Wiki hii nilikutana na demu wangu kwa ajili ya mgegedo. Lakini tukiwa katika harakati hizo, alishangaa first round ikichukua kama dakika...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale nimefungua ofisi kubwa sana hapa mjini ya kuchezesha game pes sasa hapa ofisini kuna mkusanyiko mkubwa wa biashara sasa kuna mdada mmoja hapa ana genge...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza 😂 Kumbe karibu na ile meza kulikua na...
0 Reactions
7 Replies
828 Views
Mfumo dume unamtambua kama kiumbe dhaifu, asiye na nguvu.... Huu ni upotoshaji mkubwa labda nguvu hizi za kimwili na si kiroho.... Namheshimu sana mwanamke hasa asili yake kiroho na in fact...
22 Reactions
111 Replies
15K Views
Hello Wadau!! Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko. Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Dogo anaendesha boda boda mtaani kwetu, akapata demu mmoja pisi kiasi akamtokea demu akakubali lakini demu akatoa sharti kwa dogo kwamba Kila watakapoonana dogo ampe demu 20k Dogo akakubali...
44 Reactions
69 Replies
7K Views
Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora . Sura ya Baba hawana...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom