Nachukua funguo yangu

Nachukua funguo yangu

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Ni ndugu yangu kabisa mdogo wake mama kapata kazi sasa yuko kwenye training akaniomba kukaa na mm kwa muda..

Jana kamleta demu wake na wamefanya uzinzi kitandani kwangu. Nilimkataza

Nimemwambia anipe funguo nikiingia anaingia na nikitoka anatoka[emoji23]
View attachment 2235931
 
Pole sana jamaa kaacha janaba kwenye godoro lako
 
Unataka mjomba asinyandue akae na kutu?
 
Back
Top Bottom