Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam wakuu, Kwanza nitoe angalizo kuwa mada yangu hailengi kuwaondolea heshima wanawake kwani umuhimu wao kwenye jamii zetu umetukuka. Nimeona niwashirikishe kisa kufupi Cha mwanamke huyu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu. Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo...
40 Reactions
638 Replies
32K Views
Ipo hivi na pisi mbili. Mmoja ni mzuri tako lipo and very respectful. Huyu mwingine sio mzuri anatako ila sasa ni mtu wa viwanja na expensive things. Na worse ni wa show off kujipost kila mda...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Nianze kwa kucheka kwanza. Hii stori naiandika kwa lugha isiyo Rasmi, lugha za kiujana ujana. Wayback nlikuwa na mamiloo, alinipenda ye then mie nikausoma mchezo tukawa wapenzi. Tumeenda miezi...
11 Reactions
174 Replies
10K Views
Mara baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mpenzi wangu kwa muda mrefu usiopungua mwaka na miezi kadhaa nilijaribu kutafuta suluhu kadri ya uwezo wangu na haikufua dafu. Nilipata msongo wa...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwanamke huwa anapata hamu kwa kipindi maalum, sio kila siku, yaani yupo kama ng'ombe jike huwa Ana period maalum. Ukikutana nae kimapenzi akiwa hayuko kwenye muda niliotaja hata upigeje hatapata...
29 Reactions
196 Replies
18K Views
Maswala ya Ngorongoro sijui waondolewe au wasiondolewe hayo hayanihusu. Mimi na tazama upande wa pili hawa dada zetu wakimasai magogo kitandani sasa uko kuchanganyika na watanga itakua nafuu...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo. Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki...
17 Reactions
56 Replies
5K Views
Kwa kazi zangu za ukungwi nimechunguza na kujiridhisha kwamba 95% ya wanawake wanene ndiyo wenye tabia na mwenendo mzuri ktk ndoa zao. Hii imewekwa makusudi na mwenyezi Mungu kama njia ya kuziba...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hamjamboni wanazengo? Natumai mnaendelea vyema na mishe za kuijenga nchi yenu.Bila kupoteza muda acha niende kwenye mada husika. Kuna muda unaweza kutana na mwanamke mwenye mtoto( tuseme mtoto wa...
7 Reactions
33 Replies
6K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada: Ofisini kuna Pisi kali moja Mama SAMIA Intake(Ajira mpya), sasa kuna Workmate mmoja , bado hajaoa, kaanza kumfukuzia mdogo mdogo. Last week bana kapewa kadi ya...
12 Reactions
51 Replies
4K Views
Hope mko poa. Recently, kumekua na case tofauti tofauti kwa hili jukwaa pendwa la MMU. Kumekua na story za member wenzetu humu kuumizwa na haya mapenzi. Kuna thread zinasikitisha na kutia huruma...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Zamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Habar wakui Kila uzi humu ukimrefer demu kumzingua mtu humu pesa inatajwa sana lkn pia kuna hiki kitu wengi pia wqnakisahau muonekano wa nje. Ushawah kuta mtu ana mapesa kibao ila anagongewa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maake wamekuwa na lawama kupita kiasi, utaskia mara oh "nia yako ilikuwa ni kunichezea tu", mara "aliniambia nimfuate kwake anisaidie pesa, cha kusikitisha akaichakata mbususu yangu kwa hasira...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu kuanzia saa nimenunua Boksi la Vipimo vya Ukimwi ili nimlinde Mpenz wangu, nampenda Sana Mpenzi wangu, amekuwa mwanamke mtulivu sana, kiukweli nimemchit Sana mengine alijua na mengine ajui...
5 Reactions
107 Replies
7K Views
Ukipata nafasi ya kumuumiza Mwanamke kwenye mahusiano usisite kufanya hivyo!,maana yeye akipata hiyo nafasi huwa hajiulizi mara mbili, kitu kinachotuponza sisi wanaume ni huruma ndio maana kwa...
12 Reactions
20 Replies
3K Views
Hali imekuwa si shwari baada ya Selina kumkimbia mume wake waliyedumu nae kwenye ndoa miaka 10. Mr Rogers alikuwa ni mfanyabiashara hapo Kariakoo kisha kumuachia mke wake duka aendelee kulisimamia...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom