Njia rahisi ya kulipata penzi la mwanamke mwenye mtoto

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,813
12,565
Hamjamboni wanazengo? Natumai mnaendelea vyema na mishe za kuijenga nchi yenu.Bila kupoteza muda acha niende kwenye mada husika.

Kuna muda unaweza kutana na mwanamke mwenye mtoto( tuseme mtoto wa miaka 3 Hadi 5) afu huyo mwanamke Yuko single Hana mtu kbsa na ukavutiwa naye kwa sababu amekidhi vigezo vyako,Yaani Ni mzuri balaa.Sasa unaanza kuumiza kichwa juu ya mbinu utakayotumia kumtongoza huyo mwanamke aingie kingi mazima bila usumbufu wowote Yaani. Je, utafanyaje ili uweze kumpata kwa urahisi?

Sasa Cha kufanya Ni Anza kwa kumpenda huyo mwanae.Yaani kipindi upo nao ( mama na mwanae) hebu mtreat huyo mtoto as if Ni wa kwako kbsa uliyezaa na huyo mwanamke.Muonyeshe upendo kwa vitendo na umchangamkie kila unapokutana naye.

Huyo mtoto mnunulie zawadi Kama vile midoli ya kuchezea,vipipi na vyakula vitamu Tamu Kama vile biscuits, yoghurt, cakes, soda na kadhalika. Ikiwezekana pia siku Moja nenda sokoni ukamnunulie mavazi Kama vile nguo na viatu.

Muda mwingine pia mpe simu yako achezee na umwekee cartoons za Tom and Jerry afu kuwa making Sana na Simi yako maana akiiharibu Wala hutomfanya lolote maana ulimpa mwenyewe

Mfanyie mwanae hayo yote kwa lengo la kuiteka attention ya mama yake Wala usiwe na haja na huyo mtoto maana yeye sio damu yako bro.Yaani hapa unamtumia mtoto wake kuiteka mazima attention Yake.

Tena hakikisha huyo mwanamke hagundui kwamba unamfanyia mwanae haya yote eti kisa tu uiteke attention Yake.Jifanye huna haja naye kbsa we jali tu kuhusu mtoto wake aisee.

Baada ya muda mfupi huyo mwanamke mwenyewe ataanza kujiongeza kwa kujilengesha kwako ili umtongoze awe wako kabisa. Kuna muda utamsikia akikwambia afadhali wewe ndo ungekuwa baba wa mtoto wake ( mzazi mwenzie) coz ile treatment unayompa mwanaye Wala hajawahi pewa na babake mzazi

Bro nakwambia Kama utaamua kutongoza huyo mwanamke Wala hutotumia nguvu ama muda mwingi maana tayari ulishaiteka attention Yake kwa kumtumia mtoto wake tu. Mama fulani ataridhia ombi lako ndani ya dakika Moja tu kwanza atakwambia ulichelewa Sana kumtongoza

Sasa kitakachofuata baade Ni wewe kuamua Kama utamchukua umweke ndani umfanye mkeo ama utakula tu mzigo na kusepa mazima.

Uzi tayari
 
Uchawi una categories tofauti, tofauti..., Binafsi mimi huu ndio naita uchawi (wale wanaowanga ni wasanii)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom