Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,780
...
Atakuwa analipwa labda ruble ya Urusi.Kwahiyo akila hiyo analipwa dolla ngapi za kimarekani?
Halafu huyo anaemezewa nnya yake anapata starehe gani labdaAtakuwa analipwa labda ruble ya Urusi.
Anaweza Asipate Madhara ila Hatofurahia Pesa Aliyopata Maanq Moyoni anajua Alikula Vitu vichafu kila Akikumbuka Hatokuwa na Furaha zaidi ya Majuto tu. Na Sometimes akiitwa Muda Wowote anaenda Kula TenaTamaa mbaya za dada zetu zitawatokea puani kwanini uteke kiasi hicho kisa pesa madhara atayeenda kuyapata itafidia pesa yote aliyopata baada ya kufanya hivyo
Mdau unataka kumuona mtu akila mavi ya mtu na video unaomba kabisa?Mkuu, tuma video au link PM mkuu!!
Ndugu watu wenye Pesa Hao. Yeye Chochote anachotaka Kufanya Haijalishi anaridhikaj au Anafurahije. Ni sawa na Wabongo wengi kufika Bar na Kununuliwa watu pombe meza Zote. Au mtu Kufika kwenye Sherehe akamwaga Notes kwa MaharusiHalafu huyo anaemezewa nnya yake anapata starehe gani labda
Pesa ukiiweka Hapo Mezani haiwi Shetani. Ila mtuamiaj ndie Huwa ShetaniPesa ni shetani
AmiinPesa ukiiweka Hapo Mezani haiwi Shetani. Ila mtuamiaj ndie Huwa Shetani
Umeongea kitu kikubwa Sana pesa ni tamu, matumizi au njia unazotumia kupata zinaweza kutia kwenye dhambiPesa ukiiweka Hapo Mezani haiwi Shetani. Ila mtuamiaj ndie Huwa Shetani
Tatizo nyie wadada mnapenda pesa Sana madhara yake ndio haya[emoji849][emoji849]Duh!!!!