Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila...
12 Reactions
12 Replies
2K Views
Marriage is a union of two individuals who become one living entity via their marriage. One thing we should be aware of is that not everything in this world is suitable for everyone. As a result...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo...
84 Reactions
413 Replies
43K Views
Hello everyone, I am looking for a wife material, mrembo, anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu...
8 Reactions
93 Replies
8K Views
Hamjambo. Neno langu ni moja tuu msitoe mimba hii itawagharimu sana kwenye kutafuta mtoto pindi umeshaolewa au unahitaji kupata mtoto. Mwenye kusikia na asikie asiyesikie aendelee.
5 Reactions
11 Replies
848 Views
Leo sina hili wala like Naona txt kutoka Kwa Bby ikinitakia Heri Siku ya Baba Duniani.. Kiukwel Mpenz wangu ni mzuri sana hakuna anayemzidi mpenzi Wangu kwenye hii Duniani Ndo Maana nitachit...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimekua kwenye mahusiano na mdada mmoja tangu 2009, kipindi hicho bado watoto wadogo kabisa ndo t umejuana then tukawa tunawasiliana tu kwa simu Na kuna miaka tunapotezana, mwaka 2021 tukaonana...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ipo hivii kumekuwa na utofauti mkubwa Sana wa madaraja ya wanaume kutokana wanawake wanavyo tutofautisha. Ili mwanamke akusifie kwamba wewe ni mwanaume mzuri na unafaa kuanzisha naye mahusiano...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna Huu msemo Kuwa "the miserable love company" Miserable Ni Hali ya Kuwa Na huzuni, masononeko Na ugumu wa Maisha" Kwa kifupi Misery Ni kinyume cha furaha. Sasa company Ni Ile Hali ya Kuwa Na...
1 Reactions
5 Replies
854 Views
Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu. Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Aah Salamu kitu gani bana! Iko hivi, nipo Dar hapa , nina mpenzi yupo Mkoa wa Mara border, Huyu manzi sasa nina mwezi nae tangu tujuane. Lakini kabla sijakutana nae, nilikua na manzi mwingine...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo! Iko hivi, Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Unaowa mwanamke mzuri unamwaga pesa kumshawishi, unampendezesha, unamfungulia biashara na kumweka kwenye nyumba ya kifahari, unajenga hadi ukweni kutafuta sifa Alafu unakuta huyo mwanamke ana...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za adhuhuri wapendwa. Leo napenda kushare nanyi jambo moja. Kwa kawaida wanaume wengi linapokuja suala la kutafuta mwenzi wa maisha huwa tunapenda wanawake wapole na wastaarabu sana...
13 Reactions
95 Replies
19K Views
Ndugu zangu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza ni Kweli Mimi ni mmoja ya watu ambao walikuwa hawaamini saana ushirikana kama upo katika mapenzi Ukweli ni kwamba ushirikana upo Tena saana...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna jamaa yangu mmoja alikuja kunipa changamoto yake kwenye mahusiano; anasema kuna mrembo mmoja amempenda, na huyo mrembo anafanya kazi za ndani kwa tajiri mmoja. Huyo rafiki yangu alimfahamu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums! Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naomba usome uzi wangu, na mwisho unaweza nishauri...
8 Reactions
64 Replies
7K Views
Hello members?, I'm 28. I'm looking for a partner/ girlfriend. I'm looking to be in an emotionally committed relationship. I'm not looking for “the one” or marriage, but I also am not looking for...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Ebu tuache kubuni vitu visivyokuwepo, ivi ni kweli kabisa huyu mdada mzuri kiasi hiki anaishi?. Basi kama ni kweli maisha anayopitia niyakero sana maana kila hatua mbili Gari zitagongana kila mtu...
3 Reactions
79 Replies
6K Views
Ni kisa Cha ukweli kilicho mkuta jamaa yangu. Yalikua ni malalamiko tu kila siku akisema mkewe hana heshima yaani hamuheshimu kabisa. Pamoja na kuto kuwa na heshima alikua na kauli chafu Sana...
63 Reactions
62 Replies
11K Views
Back
Top Bottom