Ukipata nafasi ya kumuumiza Mwanamke!

Ukipata nafasi ya kumuumiza Mwanamke!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Ukipata nafasi ya kumuumiza Mwanamke kwenye mahusiano usisite kufanya hivyo!,maana yeye akipata hiyo nafasi huwa hajiulizi mara mbili, kitu kinachotuponza sisi wanaume ni huruma ndio maana kwa asilimia kubwa tumekuwa wahanga wakupigwa matukio!

Mwanaume akitaka kumpiga chini mwanamke huwa anajiuliza sana huyu nikimuacha ataishi Vipi, atapitia changamoto zipi etc, ndio maana mwanaume ni rahisi kumfungulia biashara mwanamke ama kumtafutia kazi ili asipate tabu! Lakini mwanamke akitaka kukupiga chini huwa hafikirii chochote kama utaishi vipi, hata kama utapitia mabaya kiasi gani hilo utajua mwenyewe! Anakupiga matukio bila kujali wema wowote ulimfanyia!
 
🤣🤣🤣🤣
pole mkuu, amekuacha hata hajawaza utaishije bila yeye! Utaishi tu mkuu, subiri muda upite upone, focus kwenye mambo mengine wala huhitaji kwenda kutembeza sumu kwa wengine, unajiumiza mwenyewe bure kubeba mizigo rohoni
 
Both team to scrore
Au
Home team win both halves
Mkuu usipime kina cha mto usiku kwa miguu yote miwili
 
Unyama unyama tuu umewajaawote mnaofikiria kuwaumiza binadamu wenzenu kwa sababu zisizo na msingi, jamani hawa wanawake tumeumbiwa sisi wanaume, tumieni akili, akili mtu wangu mbona mwanamke wako anafaa sana
 
Nachomshukuru Mungu ni kuwa mnayoyaandika humu ndani mkiwa nyuma ya keyboard kwa ujasiri uliotukuka ni mbingu na ardhi na ukhalisia wa yanayotokea huko duniani..!!
 
Kuna jamaa angu juzi amenunua manati mbili anadai kuna mwanamke amemsaidia vingi sana kwa mapenzi makubwa kamtafutia kazi mwisho wa siku demu kamletea dharau kubwa na hamtaki mshikaji tena kwa kejeli! Nia yake anasema atamfumua kwa manati akaugue ndani miezi kadhaa akipona anamfumua tena mpaka kieleweke apate na yeye tena ya moja kwa moja
 
Back
Top Bottom