Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanza mtambue beautiful span yenu ni ndogo sana. Ukishafikisha miaka 28, uzuri wako utaendelea kudumu kutokana na mazingira unayoishi, unakula nini, kazi unayofanya au mume wako nani kinyume na...
27 Reactions
44 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano Ni miaka saba kama si sita iliyopita, nilipingwa na kitu kizito utosini kinacho itwa mapenzi, kwa mtu nilie mpenda sana zaidi ya sana Nilijua ndio...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Salamu wakuu.. Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer 🍺 kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae. Wiki iliyopita alienda kwao KZN...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Ila wanaume wengine ni chanzo cha uharibifu wa maisha ya mwanamke, kama mwanaume umeshindwa kuendelea na mwanamke kwanini usimuache kiamani unaamua kumzushia mambo ambayo hayafanyi ili umuharibie...
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Wengi wetu tumepitia maisha haya, kwa kukaa sehemu moja familia changanyika kiasi unakosa hadi mahali pa kulala, kisa tu huenda; Wenye nyumba ndie anauwezo ukoo mzima Anahuruma ya kupitiliza...
28 Reactions
135 Replies
9K Views
Samahanini kwa kutowasalimia Yani ipo hivi yani hiki kitu kina nitokea sana kwa upande wangu,,,ni hali ambayo nakutana nayo sana unakuta binti niliempenda leo kutoka moyoni baada ya miaka kadhaa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Hili sio jambo geni kwa wengi wetu, tunaweza kuwa tumeshuhudia au tumesikia, na wachache tunaweza kuwa hatujakutana na changamoto hii au hawajaona kabisa. Kijana ambaye hajaoa/hajaolewa anaweza...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego...
9 Reactions
116 Replies
18K Views
Habari Wana JF. Naitwa parson, Nina umri wa miaka 35, pombe na sigara situmii, Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa. Sifa ya mke nimtakaye. Umri kuanzia 30-36 Kabila -lolote...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kadri siku zinavyokwenda, wazazi wengi hupenda kuweka picha za watoto wao mitandaoni huku wakiwapongeza na kujivunia walivyo warembo, wenye akili na wepesi kujifunza ama wanavyowaletea furaha...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Alice alikua jirani yangu huku Kwamtogole, nilipomfahamu Alice alikua mwajiriwa katika Taasisi ya Serikali. Alifika Dar akitokea mkoani baada ya mjomba wake kumsaidia kupata ajira hii kabla...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
NAOMBA UNISAIDIE NAMNA YA KUMFUKUZA MAMA YANGU MZAZI KWANGU NIMECHOKA! Tangu zamani nilishaapa kuwa nikiolewa siwezi kuishi na Mama mkwe wangu wkani nilikua nafahamu jinsi Mama wakwe walivyo na...
18 Reactions
79 Replies
11K Views
Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Tupo mwanzo wa wiki na mwezi nao ndio unayoyoma.. kwa wenye mishahara mwisho wa mwezi vibunda vimekaribia Mwaisa, unyama mwingi, hapa kazi tu, tuendelee kuupiga mwingi In every day, enjoy to the...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
I am 28 yr guy from dsm working as businessman I like public transportation(i dont have a car lol)and wandering around cities. I do believe that ‘love conquers all,’ but that’s because I’m a...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
I try so hard to act like I'm okay. I try so hard it just drains me; I've no energy, I barely want to eat, and all I want to do is sleep. But then someone looks at me and expects me to be okay and...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Sikujua ni wale golden girls katika familia, amesoma elimu yake yote kwa msaada kidogo wa wazazi na msaada mkubwa shukran kwa serikali. Alipomaliza shule alibahatika kupata kazi katika taasisi ya...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Closed
Habari za Jioni wadau, JF never bored. Nimekaa nipo upweke upweke baada ya kutoka job nikaona niingiee humu nishee swali la kipuuzii lakini linamhusu kila mmoja wetu humu 18+ Kwa maana ya tendo...
4 Reactions
56 Replies
9K Views
Hii dunia inazidi kusikitisha sana! Kabla sijazungumzia kilichonifanya kuandaa huu uzi naomba niseme kuwa huyu mwanamama kila siku asubuhi huwa anaamka na hasira kali kupita kiasi, utasikia Paaa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia. Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom