Dada kama hutaki kuliwa usipende kula vya wanaume. Tunapata pesa kwa ugumu sana

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,131
Hi

Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia.

Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu ambacho hakina maajabu. Tunashobokea kabla hatujakipata tu, tukipata tunaanza kujijutia hasa tukikumbuka gharama za fedha na muda tuliopoteza.

Haka kabinti nilikashushia verse kakakataa katakata kakitia sababu kuwa mimi ni shemeji yake. Nikasema hamna shida ila misaada kwako nitapunguza na kubakisha misaada muhimu tu ya kibinadamu. Kakajibu sawa.

Kakaniomba msaada fulani kama wa laki 3 hivi nikamchomolea. Nikamwambia kwakuwa sisi ni mashemeji ni vyema umuombe dada yako yeye atafikisha kwangu kama patakuwa na ulazima huo.
Hakuweza kufanya hivyo.

Sijui ananijua Mimi limbukeni na ndezi, anakaa wiki ananiomba pesa namnyima, akikaa tena siku tano au wiki ananiomba pesa au kitu fulani nimnunulie namzungusha. Akiniomba hela kidogo ya kula namtumia kwakuwa naijua njaa suluba yake.

Juzi kaniomba pesa elfu 30 nimemblock. Nawaza hapa nimpe jibu gani ambalo litamnyoosha asinizoee kabisa.

Yaani sasa sihitaji nanilii yake hata kwa bure.
 
Unataka umle shemeji bila aibu. Mdogo wa mkeo yani??

Kuna wajomba mna ushetani flani hivi.
 
Kama kweli ni shemu achana na huo ujinga maana sister akisanuka vitakaa vikao vya familia sa sijui sura utaiweka wapi?
 
Hi

Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia.

Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu ambacho hakina maajabu.

Tunashobokea kabla hatujakipata tu, tukipata tunaanza kujijutia hasa tukikumbuka gharama za fedha na muda tuliopoteza.

Haka kabinti nilikashushia verse kakakataa katakata kakitia sababu kuwa mimi ni shemeji yake. Nikasema hamna shida ila misaada kwako nitapunguza na kubakisha misaada muhimu tu ya kibinadamu. Kakajibu sawa.

Kakaniomba msaada fulani kama wa laki 3 hivi nikamchomolea. Nikamwambia kwakuwa sisi ni mashemeji ni vyema umuombe dada yako yeye atafikisha kwangu kama patakuwa na ulazima huo.
Hakuweza kufanya hivyo.

Sijui ananijua Mimi limbukeni na ndezi, anakaa wiki ananiomba pesa namnyima, akikaa tena siku tano au wiki ananiomba pesa au kitu fulani nimnunulie namzungusha. Akiniomba hela kidogo ya kula namtumia kwakuwa naijua njaa suluba yake.

Juzi kaniomba pesa elfu 30 nimemblock. Nawaza hapa nimpe jibu gani ambalo litamnyoosha asinizoee kabisa.

Yaani sasa sihitaji nanilii yake hata kwa bure.
Piga sanctions za kutosha huyo.........coz kukataliwa Ni aibu kubwa ...
 
MIMI NIKO UPANDE WAKO UPANDE WA UKWELI NA HAKI SHIKILIA HAPO HAPO HUYO SHEMEJI AKO USIMPE MPKA UMTAFUNE SAFARI HII MWAMBIE AFATE GESTI HII NJIA UTANISHUKURU SHIDA HAINA ADABU UKASHIPIGA NDIO UM BLOCK SAHIV USIMBLOCK FANYA KAMA NILIVYOKWAMBIA
 
Hi

Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia.
Mkuu usimpe hata mia hata ya kula we kausha mwambie amshirikishe dada yake. lazima atajileta na akijileta kula na ukate mazoea. hakikisha una mla zaidi ya mara 3. unaweza kuta una mpa pesa na yeye ana honga pesa
 
Ni stage ambayo kijana lazima apitie
Mkuu usimjaji mtu kwa uzi kama huu hujui ubongo wake unawaza nini

Mapenzi kwa sasa ni changamoto ambayo bila kuwa nakipato utaishia kusema yule demu mkali

Confidence unayo unamfata demu baada ya wiki anakuomba msaada kwenye ishu ya msingi sana mi na uhakika utakimbia
 
Back
Top Bottom