Wanaume! Mwenzetu kashaangukiwa na kitu chenye ncha kali

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,699
9,778
Hii dunia inazidi kusikitisha sana!

Kabla sijazungumzia kilichonifanya kuandaa huu uzi naomba niseme kuwa huyu mwanamama kila siku asubuhi huwa anaamka na hasira kali kupita kiasi, utasikia Paaa! Pmbv, yaani watoto wake wanaambulia kipigo cha mbwa koko, tena wa kuwazaa, mchovu sana! Kwa sisi wataalamu wa papuchi twaweza sema hakuna mume hapo japokuwa ana mume! Anahitaji kusaidiwa! Sema mwanamke mwenyewe anapenda ndoa yake ila hampendi mumewe (nahisi)

Twende kwenye mada! Wana watoto wawili, wa kiume na wakike, wamezidiana kama miaka minne! Wote wanafanana, ila hawafanani na baba wala na mama! Rangi zao za kipekee, ni Whitish brown, ila baba mweusi na mama ni mweupe!

Katika zunguka zunguka yangu siku ya juzi nikakutana na mwanababa anafanania wale watoto, kuanzia sura hadi rangi, na unene! Sanasana mtoto wa kiume! Nikajua kama duniani si wawili wawili, basi ni watatu watatu! Nikaamua kufuata kilichonipeleka pale!

Leo saa moja asubuhi nikaenda kuusikilizia mchongo nilio plan jana, ndipo kumkuta yule mke anataniana na yule jamaa copy ya watoto japo kwa mbali mbali! huku rafiki zake na yule jamaa wakitia utani ndani yake!

Dakika chache baadae, yule mwanamama akavuta kitu kama pesa kwenye pochi akamkabidhi, nilikuwa kwa mbali kidogo, nahisi ni pesa, maake mwanaume hawezi pewa hereni! Kisha akaanza kusisitiza jambo ilhali mwanaume yule akawa anamkatalia huku akiwa kaikunja sura yake akiambatana na ishara za kurusha rusha mikono!

Nikaamua kupita njia nyingine kuepusha shari!

Ila kuna mtu tayari kashaliwa za kichwa!
 
Inawezekana ni chai ila haya matukio yapo.
Wanawake wanaroho ngumu sana. Umefikisha umri wa miaka 60 halafu unagundua watoto wako wa 5 uliowasomesha siyo wako.
Hapo gunia ya mkaa, kisu au risasi lazima zihusike hakuna namna.
Angalizo
Ni muhimu sana kufuatilia simu au tabia ya mkeo kabla haujapigwa. Sasa wewe endelea kutoshika hata simu ya mkeo kisa unampenda sana. Ukija shituka unalea watoto siyo wako.
Ni bora uzae na wanawake tofauti tofauti lkn una uhakika ni watoto wako 100℅
 
Huyo jamaa (baba wa kambo) asishike hata simu ya mkewe ili azidi kulea watoto mwanaume mwenzake.
Shida ya wanaume wa siku hizi wanaishi kama wanawake na wanawake wanaishi kama wanaume na matokeo yake sasa wanaume ndiyo wanahangaika na wanalilia mapenzi.
"Mwanamke ndiyo anatakiwa asishike simu ya mumewe"
Wanaume tunatumia akili kwenye mapenzi ila ukitumia hisia ndiyo yale akiniacha sitampata mwanamke kama yule.
Utagongewa sana na utalea watoto wa mwanaume mwenzako.
Kushika simu ya mkeo ndo mwanzo wa kujitafutia matatizo!
 
Unakubali vipi toto halifanani na wewe au ndugu yoyote..
Kwanza watu wazima waliokulea ukipeleka mtoto tu chap washausoma mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom