Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Warembo wote wa humu na wa huko duniani, mtutumie vizuri; tunakaribia kutoweka duniani. Yangu...
9 Reactions
63 Replies
884 Views
Mimi nlkuwa napendekeza kuwa, tusiache asil yetu ya kitanzania, kukimbinzana na mambo ya wazungu maana kizazi chetu kitapotea. Na tusipoziba ufa mapema msing wa watoto wetu utaporomoka...
1 Reactions
0 Replies
70 Views
Kuna watu wa ajabu sana hapa duniani, yaani unamkuta mkeo kitandani kwako tena 'kainamishwa' jambo ambalo wewe hukuwahi kulifanya, unapiga magoti unaanza kukemea mapepo eti ndiyo yamemsababishia...
6 Reactions
12 Replies
490 Views
Tupe ushuhuda mwanamke gani kati ya hawa ni mtundu kitandani? Maana wamakonde, wazaramo/wandengeleko wanawekwa ndani kabisa kufundishwa namna ya kutiana na makungwi wao ndo maana baadhi ya sehemu...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke Yaani mwanamke...
2 Reactions
14 Replies
295 Views
Wapendwa Marafiki, Wajukuu na wote wenye mapenzi mema, salaam Ilikuwa weekend mbaya sana kwa ODM, Baada ya kushtushwa na msiba wa watanzania wenzetu kwenye ajali ya meli haukupita muda nikapigiwa...
53 Reactions
346 Replies
28K Views
Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo. Changamoto ni kwamba mke wangu yeye...
16 Reactions
69 Replies
2K Views
Kuna siku nilikaa nikamtazama mwanangu kwa makini sana. Sio tu sura. Sio tu macho. Sio tu tabasamu. Tabia. Misimamo. Namna anavyoongea. Namna anavyojibu watu. Hata namna anavyokasirika...
6 Reactions
16 Replies
508 Views
Nimepokea ka sms kamenichekesha. Wizi mtupu! "When awake you're in my thoughts, when asleep you're in my dreams. the only place I never seem to find you is in my arms. Miss you" Kama na wewe...
9 Reactions
129 Replies
27K Views
Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba. Mwaka 2018...
10 Reactions
161 Replies
3K Views
Sijawahi kuona wanawake au mabinti wakifanya hii kazi ya kukata na kupaka ranga wanawake salun Hivi hii kazi nayo ni ngumu ya kiume kama kubeba zege kuwa wanawake hawawezi kufanya, kukatana kucha...
10 Reactions
36 Replies
661 Views
Hivi wapenzi mnaopendana, na mnaishi pamoja ni sahihi kuoneana haya?
1 Reactions
10 Replies
268 Views
Mtazamo wangu ni kua ingefaa wanaume ndio wawe wanatongozwa na kuombwa kuingia kwenye mahusiano na wanawake, regardless kama mwanaume ni handsome au la. Kwa maana -wanaume ni wachache -wanaume...
3 Reactions
27 Replies
603 Views
Nimeoa, ndoa yangu ina miezi 6 lakini mke wangu kaondoka nyumbani na kaniacha anadai talaka ananishutumu kuwa nina mahusiano na Mama yangu. Nyumbani kwetu tumezaliwa watatu na wote ni wakiume...
12 Reactions
183 Replies
7K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!! (Ukistaajabu ya Musa utayaona ya silent killer leo.) Sasa baada ya ile post nikapata PM, sio PM ya kawaida naweza iita THE PM...
37 Reactions
1K Replies
120K Views
Huwezi kuvaa nguo fulani sababu hawatakuelewa. Huwezi kuishi mtaa fulani watakuona maskini sana au tajiri sana. Huwezi kula pale kwasababu siyo hadhi yako. Huwezi kuoa au kuolewa na mtu...
16 Reactions
39 Replies
633 Views
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 43. Ni mfanyabiashara na mkaazi wa jijini Dar Es Salaam. Mwaka 2011 nikiwa na umri wa miaka 36 nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na...
36 Reactions
561 Replies
94K Views
Yan husumbuan na yeyote.Ni bata tuh Yaan hakuna unayemuaz,hakuna stress ni raha jaman,na hufi mapem. Ila wenye ndoa na mahusiano na wahurumia jamani
1 Reactions
11 Replies
238 Views
Sijajua kwako wewe mtu wa karibu sana ni nani, lakini wapo ndugu, mke, mama, baba, kaka, dada wametuzunguka. Kwanini nasema Kijana ni lazima kuowa ? kwasababu binadamu tunategemeana.. Kabla ya...
2 Reactions
7 Replies
510 Views
Kuna mke wa jiran ananitaka,ila mm simtak sijui nifanyaje maana anasema eti anipend na hawez kuish bila mm.Na mimi sitak kuzin na mke watu
2 Reactions
8 Replies
206 Views
Back
Top Bottom