Kama sio mwathirika wa ukimwi uyo basi umri umeenda sana yupo 30 na kuendelea na pia ana watoto kuanzia wawili na ametelekezwa anatafuta wa kumtulia shida zake
Uwezi kumkuta mwanamke yupo chini ya...
Hii nina uzoefu nalo, unakuta kijana anaoa ili ku prove wrong zile fununu za jamii kuwa "jamaa haisomi" sasa anaamua kuingia ndoani si kwa matakwa yake bali kwa shinikizo la jamii,
Anaenda...
Mimi ni kijana wa miak 25 Sasa naingia mwaka huu Kuna mke wa mtu ananisumbua ananitumia message namba tofauti tofauti nishamtukana na kuama mtaa ,mwazoni alihitaji msaada WA pesa aliniomba nikampa...
Hapo vip!
Kuna utafiti mmoja umefanywa na shirika moja la kimarekani,linasema wanaume weupe hawapendi ngono sana kama wanaume weusi.
Wanasema wanaume weupe wanapenda sana kumiliki vitu vizuri...
Tujadiliane hapa! Kwa nini wanawake asilimia kubwa huwa hawana uthubutu wa kutongoza mwanaume hata kama awe amempenda kiasi gani. Je kwa nini huwa wanaogopa?
Hi tabia ya kuvaa vimin na nguo zinazobana inawashushia heshima yenu.
Yaan tujarib kujisitiri ili heshim yetu dumu.
Mwanamke bora n mwenye tabia njema ila sio sura na shepu.
Mpo wakuu!
Baada ya episode ya kwanza ku-trend mtandaoni nimeona niachia hit-post nyingine itakayoenda kumaliza ngebe za post ya kwanza. Kama mnavyonijua Joka jeusi mzee wa kutamba tambaa nimeona...
Ni muhimu uyajue haya mapema.
Kabla ya kuchelewa na kujikuta unaumia juu ya wanawake bila sababu. Wanawake ni tofauti na wanaume.
Jifunze haya mapema.
Utatumika jinsi unavyomuongoza.
Kama...
Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage
Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika...
Wakuu
Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na...
Ilinichukua muda sana kugundua shida nini ila kila nikichomeka nikawa nakosa kabisa ushirikiano naamua kuichomoa tena nasubiria kidogo kisha nikawa najaribu kuichomeka tena nione km itakubari...
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba...
Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu.
Kufikia 2040 hii rate ya...
Hii scenario ngumu sana ambayo inanifanya nihisi nimelogwa kwa sababu sielewi haya mapenzi yamerudi vipi.
Iko hivi; niliwahi kuwa mapenzini na mwanamke fulani nikiwa nasoma kwa muda wa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.