Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Klabu ya Chelsea ya Wanawake imetangaza kuachana na Mshambuliaji wao hatari Sam Kerr raia wa Australia ambaye ameifungia magoli 115 klabu hiyo mpaka sasa akiwa ameitumikia klabu hiyo miaka sita na...
2 Reactions
19 Replies
418 Views
Wakati tunaanza na kumpatia uhakika wa huduma alikuwa anatoa ushirikiano nzuri tu kunipatia sifa kedekede za 'uhandsome'. Leo, baada ya kuyafikia malengo yake kwa asilimia kubwa, amenizingua kwa...
0 Reactions
3 Replies
135 Views
Juzi pitapita mitandaoni, nikapata taarifa kuwa chirwa na rubeni wameachana, nikataka nijue chanzo, mana huyu Binti watanzania walikua nyuma yake kutokana na kile nacho amini kuhurumiwa...
11 Reactions
150 Replies
2K Views
Wakuu, Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero! Ana sura...
22 Reactions
224 Replies
3K Views
Naamini mko njema wakuu Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe...
17 Reactions
91 Replies
2K Views
Huko nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mtu mzima, kutokana na uzuri wake pamoja na ujuaji wake, mahusiano yalijaa migogoro mingi; hali iliyopelekea ata mtoto aliyezaliwa kuhisi ana wababa...
1 Reactions
9 Replies
206 Views
Salam sana Wakuu, Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa😀 Naeza kuelezea Bwana as a...
8 Reactions
30 Replies
372 Views
Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...? Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu...
24 Reactions
192 Replies
2K Views
Kumbe Mimi ninayeenda dakika 75 (Dar es Salaam - Zanzibar) kwa Bao Moja huku nikiikamia Mbunye hadi Chenji irudishwe huwa nakosea mno.
13 Reactions
131 Replies
3K Views
Wakuu, hili jambo utakalolisoma hapa ni maisha yangu 100%. Kuna ile kauli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, naona ni kweli 100%. Haya maisha ninayoishi sehemu kubwa ni matokea ya makuzi yangu...
27 Reactions
141 Replies
17K Views
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu. Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa...
20 Reactions
121 Replies
9K Views
Habari Wana JF Mwanangu usiniletee single maza🙏 Hii nikauli iliyotoka kwenye kunywa Cha baba yangu nilipomueleza kua nataka kuoaa. Ipo hivi nilipata kazi mwanza miaka miwili iliyopita na katika...
9 Reactions
26 Replies
615 Views
Wakuu poleni natumai mpo macho na wale wagonjwa Mungu awatie nguvu. Ipo hivi mimi ni mfanyakazi kwenye ofisi moja huku Tunduma Masasi karibu na Lilongwe road. Sasa, kuna single mother nimeanza...
11 Reactions
37 Replies
628 Views
𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗘𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗣𝗘𝗡𝗗𝗘𝗭𝗜 Hata kwa mtazamo wa kawaida ni kweli kuwa haifai wala haivutii na haistahili kabisa mwanamke kuwa chapombe. Yaani mwanamke kunywa mipombe kupita kiasi kwa...
7 Reactions
88 Replies
1K Views
Kutokana na harakati za maisha za hapa na pale, nimejikuta nimezaa na wanawake mbali mbali nje ya ndoa; na kabla ya wao kuingia kwenye mahusiano walijua kabisa mimi namilikiwa na mrs Equation x...
4 Reactions
11 Replies
291 Views
Wana MMU, Salaam. Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye jicho, unafurahi na...
11 Reactions
119 Replies
19K Views
As men get older, especially after 40, it’s actually quite common for erectile dysfunction (ED) to start showing up—and it’s usually not “sudden” but the result of gradual changes in the body...
5 Reactions
3 Replies
432 Views
Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa...
10 Reactions
54 Replies
892 Views
Back
Top Bottom