Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna wanaume na wanawake wana maisha magumu, anafanya uamuzi wa kuvunja mahusiano yake tena wengine kwa mbwembwe na matusi juu, ila baadae anarudi tena na kulilia penzi alilolivunja. Wapo tayari...
1 Reactions
19 Replies
985 Views
Kitendo cha mtu anayeitwa mpenzi au mwenza wa mtu kuingiliwa kimwili kama kuku tetea au mwanaume kuwa na tabia za jogoo, hii ni shida inatesa wengi katika mahusiano. Hivi kuwa na mmoja ni ngumu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
In short, go for what makes you happy as long as you don't transgress anyone's perimeter! For some time now, I've been [emoji131] what we call numbers D & E. I admit that these numbers don't know...
0 Reactions
6 Replies
624 Views
[emoji7][emoji7][emoji7] Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa sita. Jambo la kwanza...
3 Reactions
22 Replies
38K Views
HAKUNA UMUHIMU WA NDOA KARNE HII KWA SABABU... Na, Robert Ng'apos Heriel Hakuna umuhimu wa ndoa katika Karne hii Kwa sababu; 1. THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA NA INAKARIBIA KUTOWEKA...
54 Reactions
147 Replies
18K Views
Money Penny, rafiki mbona hauna Raha vipi tena ?! Rafiki: ah we Acha tu, natamani Corona irudie Money Penny: kwanini?! Rafiki: kabla ya Corona kuanza, nilipataga bwana, Yule bwana alinipa...
3 Reactions
72 Replies
10K Views
Haya si maneno yangu ni maneno ya Mungu mwenyewe, sasa sitaki watu waje kunishambulia hapa. 1 Wakorintho 11:8-12 1 Wakorintho 11:8-12 BHN "Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Ameniambia hivi eti kisa leo sijamtumia ujumbe au nijifanye nililazwa? "Yaani wewe kwakuwa ulichokuwa unakitaka umekipata, sawa bwana, life njema"
2 Reactions
12 Replies
818 Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale wakuu, Ukiachana na akili zangu chafu ninazozianika huku, mimi ni kijana mwema tu, mpole, kipenzi cha familia nyingi, ninaeshirikishwa katika majukumu ya...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Habar wana JF. Natumaini wazima? Niende kwenye mada bila kupoteza muda. Leo bhana mida ya mchana nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana ambaye huwa tunashirikiana mambo mengi...
4 Reactions
120 Replies
6K Views
Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake. Mwanamke...
2 Reactions
4 Replies
787 Views
Je huyu ni mwanamke wa aina gani....? Huyu ni mwanamke mwenye hii akili ya kumliki mwanaume kiakili na kimwili kwa kumtenganisha na 1; Familia, hapa ndio pale mwanaume anapo kosana na ndugu...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Well hello to all you charming women of JF world! I can't wait to make friends with all of you (not!). So I'm pretty much looking for any kind of relationship atm, whether it be purely platonic...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, embu fikiria dada yako kabisa inapita mwezi hajawahi kujibu ujumbe wako hata mmoja. Yupo online na ujumbe unaonekana umesomwa lakini kujibu tu...
14 Reactions
65 Replies
3K Views
Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye...
8 Reactions
9 Replies
985 Views
Habari zenu wana JamiiForums nahitaji mke alie na utulivu wa nafsi na siyo mwenye tamaa. Awe MUSLIM na pia awe bado hajazaa, umri awe 18-32. Awe mweusi au mweupe, pia awe na umbo zuri (shape)...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Texting Girls: 10 Mistakes Men Make, But Must Avoid 1. Insisting on a date. It is perfectly okay to arrange a date with a girl you just met, but don’t push her to give in to a date until she’s...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni...
17 Reactions
77 Replies
5K Views
Like unatembea unaona watoto wazuri wazuri and you picture them naked/ bedding them? Na wao wako hivyo? Nauliza sababu rate ya wanaume kufanya hivyo ni kubwa
12 Reactions
258 Replies
19K Views
Nimeiona hii picha kwa mstuko... Huyu bibi namjua ni rafiki na Bibi Tina aliyekuwa mama mwenye nyumba wangu Mwananyamala mwaka 2000 kuelekea 2001, kama sie basi naomba radhi Nilihamia mwaka huo...
94 Reactions
425 Replies
73K Views
Back
Top Bottom