Mwanamke Mzembe kwa wanaume mafala

Mwanamke Mzembe kwa wanaume mafala

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Je huyu ni mwanamke wa aina gani....?

Huyu ni mwanamke mwenye hii akili ya kumliki mwanaume kiakili na kimwili kwa kumtenganisha na

1; Familia, hapa ndio pale mwanaume anapo kosana na ndugu zake walio mlea tangu anajinyea hadi leo anajua kuchomekea kadate na kuwaona hawana maana kisa huuo mwanamke wake.....bro no one member of your family is after that Milf...sikiliza ndugu zako.

2: hobbies, yaani hapa ni pale mwanaume unaamua kuachanishwa na yale yanayo kupa furaha ya ukweli ili muda wako huo utumike kumnufaisha huyo mbuzi wako bro acha ufala amka kunamengi ya kufurahia zaidi ya hicho kitobo cha huyo hoe wako.

3:Friends, kwa nini utenganishwe na marafiki zako....? Sawa kuna marafiki wabaya lkn hadi umefika hapo hao marafiki unao na wala hawajawahi kukuharibia chochote so kwa nini yeye akutenganishe nao .....? Bro think out the boks kuna baadhi ya rafiki zako wanajua kitobo chake kina radha gani hivyo anahofia siri itafichuka. Kwa nini atumie muda mwingi na akili nyingi kukutenga nao...? Stay awake brother no bud is aftrer your hoe.

4: Things you love, kwa nini akutenganishe na vitu uvipendavyo kwani vikiwepo vinamuathiri nini....? Bro hana jipya huyo anayaka tu muda wako na akili zako umtumikie yeye....na wewe ukitumika utakua fala wa kutupwa cos you will gain nothing kwa hiyo kishimo....zaidi ya kupoteza time na rasilimali zako tu.

5: support base, Hi ni mbinu inayo tumika na predetor wote kwa pray wao ,mzee kwa nini utenganishwe na base yako ya sappt ...? Yaani unatenganishwa na sehemu ambayo utapata msaada pale utakapo kwama na wewe unaona poa tu ...men wewe ni boya ulie tukuka eti kisa i love u na kitobo, man you are a bitch kanyonyeshe.

6: she dont want you to logic and have good people around your ear, anajua fika ukiwa na hivyo vitu utastuliwa na atakosa boya lake la kulinyonya damu atakuafa ... na wewe ndio boya mwenyewe kwa sababu hujionei huruma unacheka cheka tu .... cheka sana ila muda wa kulia upo njiani kikubwa msijinyonge tu [emoji2][emoji2]....

Men kama wewe katika kusoma hapo umegundua kuna vi some point vinakugusa kilicho baki upigwe miti utage cos unauzalilisha uanaume .

MAN UP.....!
 
Ukiwa na mtu ambae anataka maisha yako yote umuwaze yeye na kua nae karibu. Ukiwa mbali na upeo wa macho yake anawaza shari tu, bro kimbia.
 
Tafuta pesa mkuu, mwenye pesa hua haongei sana..

Nitarudi baadae..
 
Tatiazo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Tunapoelekea 2035 sidhani kama vijana watakubali kuowa......na ndio kipindi hicho itakuwa ni ufahari mkubwa kama thamani ya dhahabu mwanamke kuwa katika ndoa.
Mbona umenda mbali sana now vijana Kwa asilimia kubwa hawajoa na idadi kubwa ya wanawake waliofikisha umri wa kuolewa hawajaolewa
 
Back
Top Bottom