Hivi wanawake mnajua ukweli huu kuhusu mwanaume?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Haya si maneno yangu ni maneno ya Mungu mwenyewe, sasa sitaki watu waje kunishambulia hapa.

1 Wakorintho 11:8-12

1 Wakorintho 11:8-12 BHN

"Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume. Mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, ila mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamume. Ndiyo maana mwanamke hufunika kichwa chake, iwe ishara ya mamlaka yaliyo juu yake, na pia kwa sababu ya malaika. Hata hivyo, mbele ya Bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume si kitu bila mwanamke. Kama vile mwanamke alivyotokana na mwanamume, vivyo hivyo mwanamume huzaliwa na mwanamke; kila kitu hutoka kwa Mungu.

Sasa wewe jifanye haki sawa kwa wote tutakutana huko juu kwa Mungu.
 
Haya si maneno yangu ni maneno ya Mungu mwenyewe

Sasa sitaki watu waje kunishambulia apa




1 Wakorintho 11:8-12

1 Wakorintho 11:8-12 BHN

Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume. Mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, ila mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamume. Ndiyo maana mwanamke hufunika kichwa chake, iwe ishara ya mamlaka yaliyo juu yake, na pia kwa sababu ya malaika. Hata hivyo, mbele ya Bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume si kitu bila mwanamke. Kama vile mwanamke alivyotokana na mwanamume, vivyo hivyo mwanamume huzaliwa na mwanamke; kila kitu hutoka kwa Mungu.


Sasa wewe jifanye haki sawa kwa wote tutakutana uko juu kwa Mungu
Mafeninist uchwara yakishuka hapa hautakaa kwa amani japo ulichosema ni 100% fact HAKUNA USAWA KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE na ni ujinga kushadadia usawa.

Shida ya kina Ashura ndala ndefu wakishapata vijielimu wanajifanya wao nao wameota mapumbu.
 
Mafeninist uchwara yakishuka hapa hautakaa kwa amani japo ulichosema ni 100% fact HAKUNA USAWA KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE na ni ujinga kushadadia usawa.

Shida ya kina Ashura ndala ndefu wakishapata vijielimu wanajifanya wao nao wameota mapumbu.
Duh! Kazi ipo, subiri kina Ashura ndala ndefu wakuibukie huko uliko,utawakoma kwa vichambo vyao!!
 
Back
Top Bottom