Wanaume tutafute hela, wenye mapenzi na sisi ni mama zetu waliyotuzaa tu

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,394
9,757
Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, embu fikiria dada yako kabisa inapita mwezi hajawahi kujibu ujumbe wako hata mmoja.

Yupo online na ujumbe unaonekana umesomwa lakini kujibu tu kuna ugumu gani, najiuliza hivi ningekua na uwezo kifedha angenikaushia?

Bora angekuwa mpenzi, tunajua mapenzi ya sasa ni ya kimasilahi lakini dada wa tumbo moja kabisa kweli yaani, dada kabisa yaani?
 
acha inferior complex mkuu.

kwanini moja kwa moja umedhani tatizo ni ufukara wako?
Tatizo linaweza kuwa ni nini? Just imagine mwezi mzima text almost 10 hazijajibiwa na zote zinaonesha zimesomwa text ya mwisho nimemtumia leo hii mida ya saa 4 asubuhi sasa ni saa 9 haijajibiwa.. na ndugu wengine anawasiliana nao fresh tu
 
Embu pima historia yenu tangu mnalelewa mlikuwa na bond?
unaweza kuta tangu utotoni mlikuwa kila mtu na 50 zake.
 
Tatizo linaweza kuwa ni nini? Just imagine mwezi mzima text almost 10 hazijajibiwa na zote zinaonesha zimesomwa text ya mwisho nimemtumia leo hii mida ya saa 4 asubuhi sasa ni saa 9 haijajibiwa.. na ndugu wengine anawasiliana nao fresh tu
Hao ndugu wengine wana hela?
 
Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, just imagine dada ako kabisa inapita mwezi hajawahi kureply text yako hata moja,

Yupo online na text inaonekana imesomwa lakini kureply tu kuna ugumu gani, najiuliza hivi ningekua na uwezo kifedha angenikaushia?

Bora angekua demu tunajua mapenzi ya sasa ni ya kimasilahi lakini dada wa tumbo moja kabisa kweli yaani dada kabisa yaani.
Mpigie mweleze uongee nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bond ilikwepo yaani nipo katika wakati mgumu sana hata sielewi nini kimetokea na kama kuna shida kwanini asiniambie
Mkuu hayo c mambo ya kifamilia mkuu , cha msingi ni kumpigia na kumuuliza kulikoni sister mbona nakutext hujibu ?
Sema Kama unatabia ya kuomba kuomba Sana ,hua ni kero hata ndugu huwa wanachoka kuombwa ombwa
 
Back
Top Bottom